Ama kweli Paul Merson kachoka. Eti C.Palace watamaliza nafasi ya 5 juu ya majogoo. Jamaa anayadharau majogoo kiasi hiki cha kuyadharirisha hadharani lol. Hii itakuwa ni sawa na kusema Tanzania itakwalifai kucheza kombe la Dunia Urusi hahahaha.
Cc DonDonald, Nzi, Pazi, Belo, Herrera,Wacha1, Malafyale, RRONDO, everlenk
huyu jamaa watu wa sky huwa wanamuita magic man, watu wa betting huwa wanamtumia sana ila kuhusu C.Palace kuwa wa tano nina wasiwasi bora angewaweka Leicester ila makuku ya jiji kwenye hiyo nafasi sina wasiwasi, ila jamaa apunguze mahaba kwa arsenal, ana mahaba na arsenal hadi anaumwa, ukiniambia mi nipange kuanzia nafasi ya tano nitaweka hivi:
Leicester
Swansea
makuku ya jiji
spurs
SOTON
C.palace.
Hakuna cha Leicester City wala C. Palace nafasi ya 5 itagombaniwa kati ya timu hizi tatu Liverpool, Spurs,Swansea sitashangaa. Kusema kweli baada ya mechi 4 na baada ya kipindi cha usajili kuisha haviwezi kuashiria nani atabeba kombe au nani ataishia wapi. Man City wakifungwa mechi moja au mbili hawa pundits watabadilika na kuinyang'anya ubingwa waliokwishawapa