Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Olivier Giroud Mikael Arteta na Alex Oxlade Chamberlain wanafanya mazoezi mafupi kujiandaa kuingia.

Dakika inakwenda ya 66
 
Dakika inakwenda ya 70 na huenda Arsene Wenger akafanya mabadiliko muda wowote ule.
 
Asante sana mkuu Richard kwa kuendelea kutuletea updates zote, endelea kufanya hivo mkuu hatuwapati live huku kwetu maporini!
 
Dakika ya 76

Timu zinafanya mabadiliko Arsenal Theo Walcott anatoka na Olivier Giroud anaingia. Stoke City nao wanafanya mabadiliko Mohamed Diouff anatoka na bojan anaingia.
 
Girouuud on no anatoa nje! pembeni ya nyavu

Kidogo Arsenal wawe 2-0
 
Dakika ya 80

Arsenal wanatafuta goli la pili na Stoke wameanza kutafuta goli la kusawazisha.
 
Kadi ya njano

Phil Bardsley anapewa kadi ya njano na mwamuzi Jon Moss kwa kumkwatua Alexis Sanchez
 
Girooooud Arsenal 2 Stoke 0

WakatiArsenal wanafanya mabadiliko kuwaingiza Alex Oxlade Chamberlain na Mikael Arteta badala ya Mesuti ozil na Laexis Sanchez, Giroud anafunga goli la kichwa baada ya Santi Cazorla kupiga mpira wa adhabu wa juu
 
Chelsea is our next Premier League victim at the Bridge next weekend.
 
Tunahesabu sekunde

Na that's it Arsenal wanashinda mchezo huu kwagi 2-0

Up next ni safari ya Croatia kucheza na Dynamo Zagreb na jumamosi ijayo saa sita mchana sa za Ulaya Arsenal inacheza Stanford Bridge na Chelsea.

COYGs!
 
Sasa ili kuweka rekodi sawa Arsenal sasa inashika nafasi ya pili kwa kuwa na points 10 nyuma ya Man City ambao wamewafunga Crystal Palace kwenye dakika ya 96 goli lililofungwa na mchezaji wa kimataifa wa Nigeria Kelechi Iheanacho.

Hivyo Cystla Palace wanashika nafasi ya tatu kwa kuwa na points 9

COYGs
 
Tunahesabu sekunde

Na that's it Arsenal wanashinda mchezo huu kwagi 2-0

Up next ni safari ya Croatia kucheza na Dynamo Zagreb na jumamosi ijayo saa sita mchana sa za Ulaya Arsenal inacheza Stanford Bridge na Chelsea.

COYGs!
Moureen amewatumia salamu maalumu ili mjitayarishe vizuri.

"It is better not to look at the table," said Chelsea manager Jose Mourinho. "For me it is the first time I look and see my team in that position. I don't look at the table, I look to players, the training session we have and the matches.
"Our next match in the Premier League is against Arsenal and we are candidates to win."

Mfikishieni hizi salamu Prof. Wenger na vijana wake.

Link BBC Sport - Everton 3-1 Chelsea
 
Back
Top Bottom