Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Somthg I love abt my team, is 30 it likes 2 grow its own. It's wat gvs a team/club an identity. Not buying every gud player & bkam a dumpsite of gud players. Luk @ MWANASITI(mancity), they av best players yet the finished last season wtout a trophy. GOONER 4EVA

Ase embu andika vizuri tafadhali!!
 
Injuries zimeanza mapema.Kwa mambo haya Majogoo yanaweza kutupiga ubaya
 
Mbona hamtoi updates mpo humu kweli? Embu leteni mrejesho wengine tuko kitandani lakini tunawafuatilia.....
 
Welcome Benzema
Welcome Benzem
Welcome Benze
Welcome Be
Welcome B
Welcome
Welco
Welc
Welb
Welbe
Welbec
Welbeck is the next Henry

😂😂😂😂😂😂
 
Mna bahati sana,ilitakiwa muwe mmechapwa kama 3 hivi!Majogoo yanawika hapo hapo Emirates
 
Chambers ni kichaka cha ajabu leo.

Duh dogo leo kawa highway wanakatiza bila break,hakika bila tusker baridiiii gemu ya leo ingenipa shida sana ila mvinyo unanipa ujasiri haswaaaaaaa wa kuendelea kuangalia chama langu.
 
Chambers anacheza akiwa na tension sana, hop atapunguza 2nd half tutamuona kwny ubora wake
 
kuna beki mmoja wa Arsenal namuona ana meno mengi!' kama si meno 52 sijui ............ hana dental formular
 
Huku kaka hapa Hubby sijui nimshabikie nani leo?.....lol
Damu nzito kuliko maji au ndio mkishaolewa mnazile mapenzi ya kwa mwana ndoa yanazidi kuliko Ndugu wa damu sababu mnaonana vitu ambavyo Ndugu wa damu hawaoni tena ? kaka muhimu tehteh haya imekuwa Draw haupati Tabu nao tena. Rubaman Leo umevaa bulletproof zimegonga mwamba Na gloves.
 
Nzi Benzema kaambiwa asiseme lolote hadi deal litakapokamilika ndivyo Wenger anavyo operate lol. Kusema kweli no chance Real Madrid watakubali kumuuza jamaa as hawana replacement wake.Arsenal fans wenzangu mfahamu hilo, sio kwamba kocha haoni mapungufu bali ni willingness ya timu nyingine kuuza wachezaji wao wa kutumaini wakati hawana replacements.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom