Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu habari za asubuhi hii.

Habari za usajili ni kwamba dael za Benzema na Cavani zimekufa na Arsenal wameangalia kwingine.

Real Madrid na PSG wamegoma kuwaachia Benzema na Cavani kwa madai kwamba muda ni mfupi umebakia kwa kusajili wachezaji wengine kuziba nafasi zao.

Lakini Arsenal watajaribu kwenda tena Real Madrid na kiasi ama cha paundi 49 milioni na hio itakuwa nimara ya nne.

Kuna mshambuliaji mwingine ambae anaitwa ALexander Kokorin ambae ni wa kutoka Russia na anachezea timu ya Dynamo Moscow.

austria-vs-russia.jpg

Kokorin ana miaka 24 na mpaka sasa yupo anahusishwa na timu zingine kama Man Utd, Zenit st Petersbrg na Spurs.

Pia bado Arsenal wanajaribu kumsajili kiungo wa Poland na Sevilla ya Spain Grzegorz Krychowiak.

Kama alivyosema legend Thiery Henry wiki hii ni wiki yenye umuhimu mkubwa kwa Arsenal FC

COYG!!
 
Mkuu uko america nn? habari za asubuhi wenzio huku saa 8 mchana dsm jua kaliii..!
Tukirudi kwa asenali na wenga wetu kiukweli mi nishamchoka huyo mzee.Kwann anasubiri mpk dkk mbaya kama hizi ndio aanze kuleta habari za kumsajili mshambuliaji na kiungo mkabaji.?toka msimu uliopita kila mwenye macho alikua anaona mapungufu ya arsenal,mpk wachezaji wenyewe wakawa wanasema wanahitaji kuongezewa nguvu (refer cazorla), but wenger kama kawaida yake ni kutia pamba masikioni tu.
Leo ligi imeanza mechi ya tatu tumeshaachwa pointi 5 na gd 9 na mancity,hata kama tutajidanganya bado mapema ukweli ni kwamba arsenal haina ubora wowote wa kushindana na mancity na chelsea msimu huu labda itokee miujiza.
 
mkuu Huyo kokorin sidhani kama tunahusishwa nae, ila yeye alisha ongea kwamba the biggest achievement katika carrier yake ni kuvaa jezi ya utd.
 
Mkuu uko america nn? habari za asubuhi wenzio huku saa 8 mchana dsm jua kaliii..!
Tukirudi kwa asenali na wenga wetu kiukweli mi nishamchoka huyo mzee.Kwann anasubiri mpk dkk mbaya kama hizi ndio aanze kuleta habari za kumsajili mshambuliaji na kiungo mkabaji.?toka msimu uliopita kila mwenye macho alikua anaona mapungufu ya arsenal,mpk wachezaji wenyewe wakawa wanasema wanahitaji kuongezewa nguvu (refer cazorla), but wenger kama kawaida yake ni kutia pamba masikioni tu.
Leo ligi imeanza mechi ya tatu tumeshaachwa pointi 5 na gd 9 na mancity,hata kama tutajidanganya bado mapema ukweli ni kwamba arsenal haina ubora wowote wa kushindana na mancity na chelsea msimu huu labda itokee miujiza.

napingana na ww kwa sababu hata hao chelsea na sisi idadi ya point ni ile ile na goal difference yao ni ndogo ukilinganisha na yetu sasa ni kipi hasa kinachowapa advantage zaidi yetu dhidi ya city
 
..consistency; hapo tu,am sorry bt nna hakika arsenal wanaelekea watapoteza points nyingi zaidi ya chelsea na mancity..game ya juzi cech katuokoa ryt but anapata assistance gani toka kwa kosc na mert.?,vp issue ya majeruhi kila msimu lazima wachezaji waende kutibiwa,Wilshere ht kbl msimu kuanza keshaumia,rosicky sawa sio wa kikosi cha kwanza but nae majeruhi...hata matatizo hua yanajirudia kila msimu but wenger as usual hataki ku address haya mambo.Tazama kikosi cha mancity thn watazame chelsea kweli tunaweza shindana nao..??
 
Wenger mzito sana ku react. Mourinho alishaona hazard msimu huu anaonekana bado hajakaa sawa,fasta kamuwahi pedro kabla man U hawajamchukua,tazama game yao ya juzi na westbrom pedro alivyo wasaidia.At the same time namsikia Wenger anasema hataki kikosi kikubwa competition itazidi...ss kuna timu gani yenye mafanikio isiyokua na competition? wale kina walcot,wilshere wanatakiwa wapate challenge zakutosha waongeze viwango,wakati barcelona ndio mabingwa wa ulaya na hawaruhusiwi kusajili but wamewaongeza kina vidal na turan though watawatumia nxt year wameona bora wawepo kwny kikosi, Arsenal bado safari ndefu sana...
 
..consistency; hapo tu,am sorry bt nna hakika arsenal wanaelekea watapoteza points nyingi zaidi ya chelsea na mancity..game ya juzi cech katuokoa ryt but anapata assistance gani toka kwa kosc na mert.?,vp issue ya majeruhi kila msimu lazima wachezaji waende kutibiwa,Wilshere ht kbl msimu kuanza keshaumia,rosicky sawa sio wa kikosi cha kwanza but nae majeruhi...hata matatizo hua yanajirudia kila msimu but wenger as usual hataki ku address haya mambo.Tazama kikosi cha mancity thn watazame chelsea kweli tunaweza shindana nao..??

unajua kila timu ina sehemu ambayo ndo msingi wa timu, chelsea msingi wao ni defence, man city ni sticking force na arsenal ni midfield mkuu....nafikiri katika misimu yote niliowahi kuitizama arsenal nadhani huu ndo msimu nnaoona tuna wachezaji weng ambao n complete & competitive kwenye midfield area hvyo nna matumaini makubwa sana na timu hii
 
hao wachezaji kwenye midfield wengine sasa hivi wanachezeshwa out of position (ramsey) wakati kuna ma winger ambao wangecheza kwenye nafasi zao timu inge perform vizuri (walcot,chamberlain) bt wenger anawaweka benchi wee mpk dkk ya 80 ndio anawaingiza.Aisee kuwa shabiki wa arsenal siku hizi lazima uwe unatembea na panadol mfukoni...
 
believe mi jd41 kikosi hiki kitakuwa tishio mwaka huu

mancity wametuzidi kila idara mkuu,tuwe wakweli tu,juzi wamemuongeza Otamendi wakati tyr wanao mangala,kompany..kiungo cha mancity unaweza kukilinganisha na cha arsenal? kumbuka wamemuongeza sterling nw kamfanya david silva aonekane ku shine sababu kazungukwa na speed aliyokua anaitaka,bado wanataka kumuongeza de bruyne.!! thn plus aguero na bony.. baba sie tutabakia kupigania top four mpk Wenger aondoke arsenal..
#nowayout!
 
Last edited by a moderator:

c.c rubaman
Juwaine
 
Last edited by a moderator:

Umenitoa mbali herrera yani sikutegemea kama umenitag kwa hilo sikia nkwambie kitu kila mtu anamatazamio juu ya timu yake lakini kuhufaamu mpila ni ishu nyingine in fact kama hatuta sajili tutakula na shidaa kama ulivyo kwa man u au Chelsea wanavyosua sua....kiukweli shida tuliyonayo sisi ni holding midfielder,centre forward na centre back tu lakini kwa waliopo si haba Katika safu ya ulinzi shidaa kubwa ni striker tuu na holding midfielder si shidaa hivyo .... Lakini kwa man u wings haiko timamu kabisa hasa kushoto kule na mbele Rooney kachoka nasikia mnataka kumchezesha manywele sasa sijui itakuaje kingine kutokana na kukosa kasi kwa winger zenu mnawiwa vigumu kuweka impact kubwa(pengo la dimaria wazi wazi) so usinicheke wala usishangazwe kwa mtazamo wa mtu kawaida tu
 
..."shida tuliyonayo sisi ni holding midfielder,centre forward na centre back.."
you are spot on brother...
now unadhani Wenger anaweza jaza hizo nafasi tatu kwa muda uliobaki ili arsenal ilete ushindani? km hatasajili maana yake nn....
Last season mwz wa 10 au 11 tulishaondolewa kwny mbio za ubingwa,this season again wont make any difference it will be the same.Mechi tatu za kufungua msimu tyr hakuna anayeifikiria arsenal kuhusu ubingwa.
#yeswengerisnaive! anajiona yy ndio anajua zaidi ya dunia nzima..damn..
#wengerout!
 
i think wewe ni shabiki wa man U;afterall sijaizungumzia timu yako coz haina hata identity,hamfungi magoli,mpira uwanjani haueleweki,mpo mpo tu pamoja na usajili wa mapesa mengi mliofanya last season hamna timu yoyote mliyojenga,nawahofia kwenye champions league nawaona kbs mkitoka kwny makundi muende europa.
Yes; mi ni shabiki wa arsenal ila pamoja na hayo siwezi jitoa akili niseme arsenal watakua mabingwa come may this season,big No.
 
Last edited by a moderator:
ila mi nna mtazamo tofaut sana, nafkir we have a complete batch to win us a league....mark my words
 
..."shida tuliyonayo sisi ni holding midfielder,centre forward na centre back.."
you are spot on brother...
now unadhani Wenger anaweza jaza hizo nafasi tatu kwa muda uliobaki ili arsenal ilete ushindani? km hatasajili maana yake nn....
Last season mwz wa 10 au 11 tulishaondolewa kwny mbio za ubingwa,this season again wont make any difference it will be the same.Mechi tatu za kufungua msimu tyr hakuna anayeifikiria arsenal kuhusu ubingwa.
#yeswengerisnaive! anajiona yy ndio anajua zaidi ya dunia nzima..damn..
#wengerout!

Huwez kuona uzaifu wa defence ikiwa forward inakeep the ball kwa kujalibu kufanya attempts hai,sisi tunaonekana wachovu kati sababu foward hatuna hivyo kwa timu yenye kufanya counter attack au striking force kubwa inalazimu 6 arudi chini kusaidia sasa apo ndipo huwiano unapotea lakini ishu ni centre forward kwanza kama unakumbuka tatizo la holding midfielder wakati flani tulipata hauen baada ya huyu dogo Francis couqline kurudi pale....ishu ni centre forward time haina impact mbele viungo wako wengi sio ishu sana sababu mfumo wa kukaa na mpila ni defence tosha yote unayaona vizuri sababu hatuna centre forward... Kusu kusajili sizani kama atasajili......NB; refer fc barca hawapati impact kubwa nyuma sababu forward mbele impact yake ni kubwa ndicho tunachoitaji ofcoz Francis ni mzuri sema hatuna mtu wa mwisho mbele.
 
ila mi nna mtazamo tofaut sana, nafkir we have a complete batch to win us a league....mark my words

..ili arsenal bingwa kwa uhakika inatakiwa man city na chelsea wapoteze pointi nyingi sana.Kuchukua ubingwa kwa tofauti ya pointi 3-9 kwa arsenal hii nna wasiwasi nao sn,ubaya wetu hua tunapigwa tu halafu popote mpk unashangaa hawa watu leo wamekunywa nn (refer westham emirates),hapo bado kuna draw ambazo sijui zitakua ngp.Inshort arsenal kua bingwa hao wawili lzm wapoteze pointi nyingi sn..
 
Me humu naanza kuhesabu majeruhi tu maana kuna mtu nilimwambia ao players wake wengi ni wagonjwa asidanganyike na pre season matches. Nadhani muda kidogo arsenal itarudi kule kule
 
Back
Top Bottom