Usajili Updates
Wakuu Benzema huenda akatua London jumapili na medical ikafanywa siku hiohio na jumatatu akatambulishwa kwa wapenzi pale Emirates.
![]()
Karimu Benzema akiwa anaelekea kwenye ndege katika uwanja wa ndege unaoaminika kuwa wa Barajas mjini Madrid.
Hii picha imepigwa hivi karibuni ikielezxa kwamba Benzema alikuwa akielekea London kwa ndege ya kukodiwa.
Benzema alikwishambiwa na Benitez kwamba angekuwa mchezaji wa akiba na Ronaldo ndie atakuwa mshambuliaji wa mbele yaani kwenye mtindo wa 4-3-2-1
Hivyo basi tusubiri kesho.
Wakati akiwa hotelini jijini London na akijitayarisha kwenda kwa Wenger, Benzima alipigiwa simu na Mourinho kwa maongezi mafupi.Alifanya hiyo medical??? Jana Jesse ndo kacheza kama Number 9 na siyo Ronaldo.
Kwa ungo.Kwani huyu mnyama anakuja na usafiri gani!?
Alifanya hiyo medical??? Jana Jesse ndo kacheza kama Number 9 na siyo Ronaldo.
Hbari zinafichwa sana, hakucheza hio mechi na wanasema alikuwa ameumia misuli ya paja.
Halafu wansema leo ameanza mazoezi mepesi, na anajiandaa kwa mechi na Real Betis jumamosi.
Barnabeu ni sehemu ngumu sana kuielewa, kwani hata medical ya Ozil ilifanywa Germany kwenye hoteli.
Hivyo tusubiri tu zimebakia siku chache.
Kumbuka ni utamaduni wa Arsenal kutozitoa rasmi taarifa za usajili kwa malengo fulanifulani, mpaka pale makubaliano ya malipo yanapokuwa yanafanywa.
Hapo ndio utasikia "Arsenal in talks with ......to sign.....from...."
Nafanya kazi jirani na Emirates Stadium nimemwona agent wa Benzema akiwa na mkurugenzi wa Arsenal wakiingia klabuni
Nafanya kazi jirani na Emirates Stadium nimemwona agent wa Benzema akiwa na mkurugenzi wa Arsenal wakiingia klabuni
Aisee kwahyo yupo njiani?
Ndio,,,,,utashuhudia
Hii line-up siielewi:
Arsenal XI:-Cech, Bellerín, Gabriel, Chambers, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Giroud-