one cater
JF-Expert Member
- Jun 10, 2014
- 368
- 153
Nafikiri kuanzia jumatatu au umma NNE tutaanza kusifia medical staff na vitu ka hizo ikizidi ni Monday
Mmeshaona dezo kusajili wachezaji week ya mwisho, aya angalieni msije mkaokota Welbeck mwingine
Nafikiri kuanzia jumatatu au umma NNE tutaanza kusifia medical staff na vitu ka hizo ikizidi ni Monday
Mmeshaona dezo kusajili wachezaji week ya mwisho, aya angalieni msije mkaokota Welbeck mwingine
Unakosea ukimtaja welbeck wa Fa cup 2-1 sema Sanchez au ata Ö ntakuelewa in fact ligi ni mbichi so hakuna matata kabisa
Nawakubali kwa kujaliwa kuwa na roho ngumu
Swala hapo si roho ngumu hapo ndipo napoonaga kuna watu wanaitwa wanazi na wapenzi nafikiri utachagua mwenyewe wewe mnazi au mpenzi
Atasajili lazima atasajili believe me jamaa kana si kesho au keshokutwa ata undergo medical
Wakuu mambo ndio hivyo tena Benzima anatarajiwa kufanya medical J4 kutokana na prof kutokutaka maandalizi ya Loserfools kuingiliwa na mambo ya usajili as you know Prof knows better. Ding ... Dong.
BTW No pics otherwise Invisible mungiki Brother watakomelea hii thread ... ..... ..... .. Kama walivyofanya New Era at the Emirates ... ..
😀😀😀😀😀😀 Hongereni sana
wakuu mambo ndio hivyo tena benzima anatarajiwa kufanya medical j4 kutokana na prof kutokutaka maandalizi ya loserfools kuingiliwa na mambo ya usajili as you know prof knows better. Ding ... Dong.
btw no pics otherwise invisible mungiki brother watakomelea hii thread ... ..... ..... .. Kama walivyofanya new era at the emirates ... ..
delusions
Usajili Updates
Wakuu Benzema huenda akatua London jumapili na medical ikafanywa siku hiohio na jumatatu akatambulishwa kwa wapenzi pale Emirates.
![]()
Karimu Benzema akiwa anaelekea kwenye ndege katika uwanja wa ndege unaoaminika kuwa wa Barajas mjini Madrid.
Hii picha imepigwa hivi karibuni ikielezxa kwamba Benzema alikuwa akielekea London kwa ndege ya kukodiwa.
Benzema alikwishambiwa na Benitez kwamba angekuwa mchezaji wa akiba na Ronaldo ndie atakuwa mshambuliaji wa mbele yaani kwenye mtindo wa 4-3-2-1
Hivyo basi tusubiri kesho.
Vijana walikuwa Colney wakipiga mazoezi kwa chati na kesho watamaliza rasmi maandalizi ya kukabiliana na Loserfools .... .... ... COYG Ding .... Dong!