Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nkukumbushe tu kua hao wanaitwa göönerz sasa usinikumbie tuuu mana kwetu tuna ghala la silaha za kivita so pole

Mishale ilishindwa kufunguka kwa Westham, sisi tunakuja kuipiga moto kabisa ghala hiyo ya silaha za kale EPL

Nakudunda hapo hapo hata ndugu zako Wacha 1 anajua ndiyo maana yupo kinywa
 
Last edited by a moderator:
Mishale ilishindwa kufunguka kwa Westham, sisi tunakuja kuipiga moto kabisa ghala hiyo ya silaha za kale EPL

Nakudunda hapo hapo hata ndugu zako Wacha 1 anajua ndiyo maana yupo kinywa

Aaah seeh! Wewe kuipiga arsenal uli na mbombo tena ngafu ngafu haswa yani endelea kuota
 
Last edited by a moderator:
Mishale ilishindwa kufunguka kwa Westham, sisi tunakuja kuipiga moto kabisa ghala hiyo ya silaha za kale EPL

Nakudunda hapo hapo hata ndugu zako Wacha 1 anajua ndiyo maana yupo kinywa

Wacha 1 amekamatika na mishe
 
Last edited by a moderator:
Kipigo cha kwanza kwa liver ni jtatu Emirates.""Giroooooooooooooooooooooooooood""!!!kama msimu uliopita.
 
Lee Mason.jpg

Lee Mason is our Howard Webb. We need 36 Lee Masons in the PL this season.
 
Nimepata habari kwamba na hii Thread wanataka kuifunga maana pics ninazoweka zinawauma ku mtima, iko njiani kupotea kama 'New Era at the Emirates, Le prof anafanya kazi ya uhakika. Wana Gunners msiwe na wasi wasi tinachubiri chacha kuwakung'uta Loser Fools on Monday ..... .... .... ....... .... chezea Gunners weye! Ding .... ..... Dong

Watakonda tu ..... ...... ....
 
Jamani, hivi Game Theory, muasisi wa huu uzi wa Arsenal yuko wapi? mara ya mwisho yeye kuwa active ilikuwa 2012, HOMEPAGE yetu IMEPOOZA sana kuliko HOMEPAGE zote za timu humu, inahitaji updates kibao! Yeye ndo mtu wa kui-update, kama vipi, Moderator, Invisible iunganisheni hii thread na thread ya mtu ambaye yuko active ktk uzi huu awe kama administrator ili awe anafanya updates, ningependekeza Wacha1 au rubaman.

Weye unataka kuleta soko mbino humu .... ... khe khe khe ke khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Game Theory mbona yumo humu sana tu siku hizi amejifanya ati yeye ni shabiki mkubwa wa Real Madrid ..... ...... usiniulize anatumia jina gani .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ati Salamander ni ya kweli haya! Khe khe khe kheeeeeee muulize Ole. kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee jamani hizi ban wengine hatuzitaki vita vya pazi furaha ya mijusi .... .... .... .... ... ngoja tuwakodelee macho ma-devils kutoka Old Trashford tuona kama watatoka kidedea ... .... .... ... Ding .... Dong
 
Last edited by a moderator:
Wadau nimepata tetesi kuwa dau la kumng'oa benzema real madrid limekubaliwa!!
 
Benzema or Muller before the window closes... Ikitiki wataimba.
 
Back
Top Bottom