Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
82' Mins ASS 2 Crystal palace 1
pt 3 kw taaaabu sana
Gunners wametoka kidedea 2 - 1 against CP .... ..Ding ... Dong
Wanafiki wote wameunyuti ooo ooops Mburukenges ... . . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Pics baadaye kidogo.
Ngoja twende mtaa wa pili kwa yule sexist anayempigia kelele dr. wa kike kwa kutimiza majukumu yake!
Mtaa wa pili leo the blues tunashinda kwa tabu sana.
Hongereni sana kwa kupata point 3 za kupewa......kwi kwi kwi kwi!!!!!! .......Hongereni sana.
Cc rubaman
Kupewa kivipi? unakumbuka Spurs mechi ya kwanza?? Mna mtihani na Fc Bruges keshokutwa! Muamze kutambuka mapema, sio mechi ya kitoto hii.