barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Nadhani Chelsea wanafanyaga maksudi kutuuzia mishipa, mwanzo ilikuwa Gallas safari hii ni Cech lol
Cech hakuwa na play time ya kutosha chelsea, ila ni kipa mzuri! Tumpe muda kidogo, pia mabeki wetu wawe wazuri nao, tusitegemee kipa tuu! Nimeangalia replay, Kolsielny aliukwepa kiasi fulani mpira wa Ward, John Terry angejitosa!