rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Unaongelea mambo ya wakati ujao...mimi naongelea ya sasa, ambayo ni namna Petr anavyowadorishia EPL medal Gooners ����
RVP akiuzwa (muda si mrefu )hamtakuwa na mchezaji yeyote mwenye FA cup medal.