Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal confirms Diaby departure

Injury-plagued midfielder Abou Diaby has left Arsenal following a decade of service to the club, with his contract having expired.

The 29-year-old had been challenged by manager Arsene Wenger to prove his fitness in order to extend his stay at the Emirates Stadium, but has been unable to do so.

During his time in England, the France international - capped 16 times - was ravaged by injuries and made only 180 appearances, spending the majority of the past two campaigns out with various problems.

Arsenal also announced the release of academy quartet Jack Jebb, Austin Lipman, Brandon Ormonde-Ottewill and Josh Vickers.

A brief statement read: "Arsenal would like to take this opportunity to thank Abou, Jack, Austin, Brandon and Josh for their contribution to the club and to wish them well for the future."
 
11692737_1488935997813278_3638819464526367917_n.jpg

sasa wenger kanunua kipa au dereva bodaboda?! ...........
 
Mimi ni Arsenal ila kuanzia leo nashabikia BARCELONA TIMU BORA
 
Naona Petr amekuja kumsaidia Welbeck kuwadorishia medali ya EPL wachezaji wa Gooners 😂😂😂
 
sasa unauliza nin wakat macho unayo... na kuona umeona mkuu enzo zidane

hahahaha......kwa hiyo mkuu!, sio kitu cha kuuliza sio eeh?! ........... hongereni basi kw kumnunua dereva bodaboda.
 
Naona Petr amekuja kumsaidia Welbeck kuwadorishia medali ya EPL wachezaji wa Gooners 

Ukizingatia DDG anatimukia Madrid afu Arsenal wamemnunue Cech Roho za watu zinawauma sana. Tusubiri ligi ianze tuzidi kuwaumiza manyang'au
 
Ukizingatia DDG anatimukia Madrid afu Arsenal wamemnunue Cech Roho za watu zinawauma sana. Tusubiri ligi ianze tuzidi kuwaumiza manyang'au

Unaongelea mambo ya wakati ujao...mimi naongelea ya sasa, ambayo ni namna Petr anavyowadorishia EPL medal Gooners 🙈🙈
 
Wakuu mpo?

Kama nilivyoeleza kwenye post namba 43027 Lucas Podolski anakuwa mchezaji mwingine wa Arsenal kuondoka.

Podolski anakwenda timu ya Garatasaray ya Turkey kwa paundi milioni 10 hivi.

Pia leo hii Arsenal wameanza mazungumzo na wawakilishi wa Pedro Rodriguez ambae ni mshambuliaji wa Barcelona.

Lakini taarifa kutoka Spain zinasema mchezaji huyo ana clause yenye kiasi kama paundi milioni 110 hivi ambazo ni nyingi sana.
 
Mkuu hiyo tarakimu ni sahihi au typing error
 
Kwamba ana thamani kubwa kiasi hicho?
 
Mkuu hiyo tarakimu ni sahihi au typing error

Ndio ni sahihi kabisa.

Pedro alisaini mkataba mpya mapema mwaka huu ambapo kumeingizwa hio buy-out clause ya hizo 110 milioni na mkataba huo mpya unaisha mwaka 2019 mwezi June.

Timu kama Barcelona zinafanya hiyo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuuza ili kupata faida kubwa ambapo bei inaweza kushuka hadi kufikia hata milioni 40.

Hivyo ili kutisha timu zingine zinazohitaji wachezaji kama huyo Pedro kunawekwa kiasi hicho.

Pedro hana nafasi kabisa ya kucheza kwenye first 11 ya Barca ukizingatia kwamba kuna Suarez na Neimar ambao ndio wanapendelewa kuanza mechi.

Lakini Arsenal kama watataka kweli kumsajili mshambuliaji huyo (ukizingatia wapo kwenye soko kutafuta) haitakuwa shida kufanya uamuzi na pia itategemea kama Pedro mwenyewe atataka kuhama timu.

Ila chances za kufanya usajili huo kabla ya mwisho wa kipindi hiki cha usajili zinazidi kupungua.

COYGS!
 
Kwamba ana thamani kubwa kiasi hicho?

Ndio ana thamani kubwa sana na ni mchezaji mzoefu ana umri wa miaka 27 ametwaa mataji 18 na Barca.

Ana class na experience kuweza kabisa kufanya kama anavyotufanyia Alexis Sanchez ambae nae ametokea Barca.
 
Back
Top Bottom