Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona baadhi ya wachezaji waliokuwa katika loans( Jenkinson, Joel Campbell,Sanogo) hawatakwenda katika hii tour. Ina maana wapo mbioni kuuzwa ama?

Mkuu somspost yangu namba 43138 hapo juu.
 
Wazee wa MIOYO MIGUMU MPOOO maana nimeckia ukitaka kutafta mke.mzur umpate mke.mwenye moyo kama wa shabiki wa ARSENAL
 
Sawa kaka tuna mioyo migumu lakini mashabiki WA mpira bongo ni plastic fans Mala Leo mancity kesho man kitu ambacho hakipo kwa shabiki wa kweli. Arsenal ya sasa sio ya miaka mitatu iloyopita
 
arsenal ya miaka.mitatu ya.nyuma.ilikuwaje na ya sasa ikoje mkuu?
 
hakuna dalili, babu kashafunga dirisha yeye

Danny Welbeck na Tomas Rosicky bado bado majeruhi na hawajapona. Rosicky aliumia kwenye mechi ya qualifier kati ya timu yake ya Czech na Iceland.

Welbeck tangu aumie goti kwenye mechi ya FA na Man utd ndio bado hajapona.

Manager Wenger anataka atumie mechi za Singapore na baadae kwenye mechi na moja kati ya timu za Stoke au Everton kujaribu kuangalia ni timu ipi itakuwa first X1 msimu ujao.

Kule nyuma kukiwa na uhakika wa kipa Cech na pengine Ospina au Cheza, Wenger anatarajiwa kuangalia uimara wa Calum Chambers na Gabby Paulista kama wanaweza kusaidia kuziba pengo la Mertesacker au Koscielny ikiwa watakuwa majeruhi.

Pia ataangalia sehemu ya kiungo kwani mwezi January mwaka huu alitaka kumsajili Morgan Schineiderlin lakini akaghairi kutokana na kuibuka kwa Francis Coquelin ambae kwa kiasi kikubwa alisaidia kuipeleka timu hiyo kwenye nsfasi ambayo waliishia.

Lakini Arsenal pia waliweza kutolewa kwenye CL na hata kwenye kombe la Carling na pia kuondolewa kwenye nafasi ya pili kwenye msimu wa ligi kuu ya Uingereza.

Wenger akarudia kutaka kumsajili William Cavalho wa Sporting Lisbon ambae ada yake imekuwa kikwazo na pia Artulo Vidal ambae kama akisajiliwa itakuwa ndio mwisho wa Francis Coquelin ambae itabidi akae, hivyo bench.

Kwa kutibu latizo hilo la sehemu ya DM akarudi kwa Arteta na kumtaka aongezewe muda kwenye mkataba wake hivyo kuondoa hitaji la DM mwingine. Hivyo Arsenal wana DM wawili tu kwa sasa ambao ni Francis Coquelin na Mikael Arteta.

Lakini mimi ningekuwa ni Wenger, bado ningemsajili Artulo Vidal au William Cavalho na ningewachezesha kwa zamu kwa kuangalia mechi na mechi yaani kuwa na good rotation policy. Hivyo kwa mfano kwenye mechi na Man Utd, Man City, Chelsea na Liverpool namchezesha DM kama Vidal au Cavalho na mechi na timu zingine za chini ya namchezesha Coquelin kama DM.

Lakini bado kwenye matayarisho haya ya mwezi huu wa July na mapema August natumaini Wenger atakuwa akiwaangalia wachezaji wake wote wa kiungo kwa makini ambao ni Coquelin, Cazorla, Jack Wilshere, Arteta na Aaron Ramsey.

Kuhusu idara ya ushambuliaji kuna utata sana hasa baada ya Welbeck kushindwa kupona goti lake, hivyo kumwacha Olivier Giroud , Theo Walcott na Yaya Sanogo kama ndio established strikers!

Hii mimi naona ni ubishi tu wa huyu mzee kwani kama Yaya Sanogo ameshindwa kufanya vizuri kwenye timu ya mkopo ya Crystal Palace hawezi kumtegemea kuja kuwa mmoja wa washambuliaji walewale butu wa Arsenal.

Ni lazima Wenger atambue kwamba wapenzi wa timu hii bado tunasubiri usajili wa maeneo mawili yaani DM na ushambuliaji.

Francis Coquelin anahitaji challenge kutoka kwa kiungo mwingine na sio Arteta ambae akiumia tena misuli (ukizingatia ana umri wa miaka 33) hatutaweza kuwa na cover ya uhakika.

Pia kuumia kwa Welbeck na Yaya Sanogo bado kutokuwa mshambuliaji kamili Arsena ni lazima ifanye usajili muhimu.

Bado tunaweza kuwasajili Artulo Vidal, Karim Benzema au Gonzalo Higuain bila kumsahau Pedro.
 
Nimependa uchambuzi wako. Babu naamini mpango wake ni kumdeploy either Chambo or Willshare kwenye defensive midfield ikiwa Le Coque hayupo. Kwangu mimj sio wazo baya hasa ktk ulinzi wa oir own products na brand ya Arsenal
 
Wazee wa MIOYO MIGUMU MPOOO maana nimeckia ukitaka kutafta mke.mzur umpate mke.mwenye moyo kama wa shabiki wa ARSENAL

Hahaaaaa, hivi msimu wa juzi barca ilivotoka patupu ulikua wapi? Maana unavotutesa na hyo treble yenu, khaaaaa
 
2A7396A900000578-0-image-a-46_1436648509957.jpg

Good move .... ... .... .Ding ... Dong
 
Najua mnayaogopa sana majogoo hasa baada ya kuja Milner na Ings
Safari hii nakupiga kwako na kwangu kiurahisi tu BAK
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom