Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

zp_561444897_DP_4542_1918.jpg
 
Morinyo atakuwa kanuna kweli
 
Attachments

  • 1435591156395.jpg
    1435591156395.jpg
    37.3 KB · Views: 164
habari njema sana hii sasa na hiyo dili ya Arturo ikiwezekana hakika itakuwa ni patashika next season.
 
Nina uhakika tukifungwaa tutasikia kina nanilii wakija na Wenger Out, Mourinho master plan tumeuziwa kipa aliyekwisha blah blah blah... Subiri.
 
wamesema no. ya jez itapostiwa kwenye oficial instagram account ya arsenal
Jersey number sio ya muhimu, anaweza kuvaa hata number 00 kama ingekuwa inaruhusiwa ktk Soka, cha muhimu ni kupewa nafasi ya kucheza
 
Top 'keeper whose excellent conduct
since he was supplanted by Courtois was
rightly rewarded by Chelsea with freedom
of movement. I like the guy, even in an
Arsenal shirt.
 
Top 'keeper whose excellent conduct
since he was supplanted by Courtois was
rightly rewarded by Chelsea with freedom
of movement. I like the guy, even in an
Arsenal shirt.
PETER CECH
 
No special mention of the not so special
one in his letter, but understandably
praise for Roman.
I remember during the Mata saga -
although Mourinho was OK with the
move because be wanted rid, but they
would have preferred if he went abroad -
it was also reported that Roman promised
Mata if things don't change he will let
him join an EPL rival as Mata, too wanted
to stay in England.
Good signing for Arsenal, let's see if
Wenger can finally win the CL or the PL
again now with quality additions over the
last two years before he retires. If it's not
us then I'd rather see Wenger win it than
the other two lucky cash and oil clubs.
 
come on board in the unsinkable ship, let that titanic ship go down
 
Pamoja ya kumaliza ndani ya top 4 inaelekea mna wakati mgumu kuattract wachezaji chini ya miaka 27

Depay ana miaka 40? Cech anayo mingapi? Messi/Suarez/CR7/Lahm/Vidal/Tevez/Cesc,Terry,Rooney,Ivanovic wako above 27?
 
Depay ana miaka 40? Cech anayo mingapi? Messi/Suarez/CR7/Lahm/Vidal/Tevez/Cesc,Terry,Rooney,Ivanovic wako above 27?

mmekuwa linked na 28-30yrs old kibao apart from Depay. Case ya GK in terms of age ni tofauti na infield players. Anyway mlikuwa mnasema kumaliza top 4 kutawarahisishia kununua wachezaji lakini hadi sasa ni Depay tu ndo kanunuliwa,unasemaje juu ya hii challenge inayoonekana kuwepo kwenu?
 
kumbe na wewe ni mgeni wa mpira kiasi hiki bro??? hvi kuwa linked na mchezaji inamaana tunamtaka? yaani hadi saiz tumekua linked ma wachezaji zaidi ya 29, it means wote tunawataka au ni media tu? Kane,varane, lloris, humells, gundogun, sterling, firmino, are those above 28? af kingne man u haina kiongozi zaidi ya Rooney na carrick ambao wapo above 28 that's y tunakua linked kiivo
 
Back
Top Bottom