Arsenal and injuries.How long it will take Cech joining the likes of Ramsey , Diaby , Wilshere,Ox etc in the treatment room? Self-banter... Arsenal kinachotuangusha sana ni injuries nyingi kila msimu.

Google Fabiasnki at Arsenal , Saints #1 Gk
![]()
Alexis anaendelea kutesa .... .... Ding ....Dong.
Ndio, amesajiliwa na atletico madrid
Usijari kwa sasa ana target piere Aubemyang.
average at best!!
Huyu dogo mi namkubali sana analijua goli, af kwa style ya uchezaji wake viungo wa Arsenal wanamfaa sana.
Huyu dogo mi namkubali sana analijua goli, af kwa style ya uchezaji wake viungo wa Arsenal wanamfaa sana.
Average player....Arsenal wanahitaji WORLD CLASS STRIKER
Bado nina imani aubemyang ni chaguo sahihi kwa mzee Wenger. Ana record nzuri na ya kutosha kabisa kumuweka ktk high class striker.
Amefunga goli 30 ktk michezo 60+, lakini pia ni top scorer wa Dortmund msimu uloisha.
Na uefa keshapiga 2. Bado unataka nino tena hapo mkuu.
Arsenal kama wana go for striker au mchezaji yoyote wamesema safari hii ni WORLD CLASS players baasi maana wanahitaji only 3 players watengeneze timu ya Ushindani mkubwa wa EPL
Aubemyang Bado ni aina ya akina HARRY KANE anaweza kuwa Top class lakini sio World Class player
kama anapatikana Benzema like au wengine ni bora zaidi....
maana ukinagalia mtu kama Welbeck ana kipaji anahitaji Confidence na mtu wa kujifunza kwake....
To me NO to AUBEMYANG ....bado sana we need an UPGRADE
2006 walicheza naBarcaaTaifa starz itafuzu world cup kabla ya arsenal kucheza final ya UCL
Taifa starz itafuzu world cup kabla ya arsenal kucheza final ya UCL
Imagine NOT rating Aubameyang..