Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
mmekuwa linked na 28-30yrs old kibao apart from Depay. Case ya GK in terms of age ni tofauti na infield players. Anyway mlikuwa mnasema kumaliza top 4 kutawarahisishia kununua wachezaji lakini hadi sasa ni Depay tu ndo kanunuliwa,unasemaje juu ya hii challenge inayoonekana kuwepo kwenu?
Tatizo unasoma na kusikiliza magazeti ya udaku.
Taja mchezaji (wa under 27 ikiwezekana) ambaye Sky Sports waliripoti kuwa United walipeleka ombi rasmi na kukataliwa! Fanya hivyo kuonyesha huo ugumu ambayo United imepata...
Morgan akasaini dili J5...hapo United inakuwa imebakiza CB 1 na ST 1....