Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal kama wana go for striker au mchezaji yoyote wamesema safari hii ni WORLD CLASS players baasi maana wanahitaji only 3 players watengeneze timu ya Ushindani mkubwa wa EPL

Aubemyang Bado ni aina ya akina HARRY KANE anaweza kuwa Top class lakini sio World Class player

kama anapatikana Benzema like au wengine ni bora zaidi....

maana ukinagalia mtu kama Welbeck ana kipaji anahitaji Confidence na mtu wa kujifunza kwake....

To me NO to AUBEMYANG ....bado sana we need an UPGRADE

Yani Aubemyang na benzema kwangu wapo kiwango sawa
 
Arturo Vidal Kasain miaka mitano Arsenal

ITS a Gossip na kuna uwezekano ni UZUSHI usiwe unaamini saana hizo deals za kuzusha....Vidal msimu ulioisha alisaini mara kama 5 kwenda Manure kupitia magazeti

ushauri Reliable information subiria Skysports na BBC wakiripoti wao huo ni Kweli wengi wazushi sana
 
nime kuelewa lakin me naamin Hiyo kitu
 
Kweli hizi romour zipo kwamba Vidal kasaini miaka 5 lakini hazijawa official confirmed. Tusubiri tuone.
 
Morgan kaamua kukimbilia Jahazi linalozama ..... .... .Safi sana Le Prof ....... .. . Wachezaji wanaopenda pesa bila mapenzi hawatufai.
 
Mkuu usiwe na wasiwasi, Arsenal wamekubaliana na Artulo Vidal ni milioni 21 tu ambazo zinatosha.

Pia wameachana na Cavalho ambae ana clause inayotaka 37 milioni.

Vidal atatangazwa wiki ijayo na ataungana na mchezaji mwenzie Alexis Sanchez na kama ulikuwa hufahamu wakala wa Sanchez ndie wakala huyohuyo wa Vidal.

Arsenal kama walivyofanya kwa Sanchez kwenye WC mwaka jana ndivyo ambavyo wamefanya kwa Vidal huko Chile ambako kunafanyika Copa America.

arturo-vidal_3330563b.jpg

Artulo Vidal

Juventus ambao tayari wamemsajili Sami Khedira kutoka Real Madrid wameamua kumuachia Vidal ambae amechezea timu hiyo kwa misimu mitatu.

HABARI ZINGINE ZA USAJILI.

1. Yaya Sanogo huenda akapelekwa Lyon ya France kucheza kwa mkopo ili apate uzoefu wa Champions League.

2. Lucas Podolski huenda akasajiliwa na Garatasaray ya Turkey.

3, Arsenal pia wanaangalia options kama waweke dau mezani kwa timu ya Augusburg ya Germany kwa mchezaji beki wa kushoto Rahman Baba ambae ni mchezaji wa kimataifa wa Ghana.

Juve wanaamini watatumia kiasi cha fedha iliyopatikana kwa Vidal wajaribu kumsajili Mehdi Benatia kiungo wa Bayern Munich ya Germany.

3, Arsenal pia wanaangalia options kama waweke dau mezani kwa timu ya Augusburg ya Germany kwa mchezaji beki wa kushoto Rahman Baba ambae ni mchezaji wa kimataifa wa Ghana. Augusburg watahitaji kiasi ch zaidi ya 20 milioni kwa beki huyo.

Arsenal kumsajili Baba kutatokana na uwezekano wa Nacho Monreal kurudi Spain kwenye timu ya Athletic Bilbao hivyo kubakiwa na Kieran Gibbs kwa beki wa kushoto.

Mwisho, bado Real Madrid wanamzungumzia mkoba Laurent Koscielny lakini n kama wanamwachia Sergio Ramos aende Man UTD. Lakini Koscielny mwaka jana alisaini mkataba mpya na ni mmoja wa wachezaji waandamizi.

Mwisho kabisa Huguain bado anazungumzwa ila Arsenal itabidi wafanye jitihada kwelikweli.
 
ahsante
 
Mkuuu Richard hii dili kama ikiwa ya uhakika na ikakamilika bhasi itakuwa poa sana mkuu na utakuwa usajili muhimu katika wakati muhimu kwa Gunners.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom