Wakati mwingine ni vema kutoa hoja bila ushabiki wowote ule. Hii inapendeza sn! Lkn km MTU anaamua kutoa tu maoni kiushabiki na kwa mapenzi Yake haipendezi!
Arsenal ndio timu pekee yenye kufanya jitihada za kukuza vipaji ya wachezaji wadogo na kuviendeleza.
Ebu tema mate chini arifu....Goons ndiyo timu pekee wapi? London ama?
Ntajibu hoja yako kwa kukutolea mfano wa Ryan Bertrand.
Huyu Bertrand alichukuliwa na Chelsea mwaka 2005 akiwa na umri wa miaka 16 umri tosha kabisa kuanza kuendelezwa kimpira. Hio ni sawa na Arsenal walipomchukua Cesc Fabregas kutoka Barcelona akiwa na umri huohuo wa miaka 16.
Kati ya mwaka 2005 na 2010 Chelsea walimtoa Bertrand na kumpeleka kwenye timu mbalimbali eti kuendeleza mpira wake wakati ilitakiwa aendelee kumsoma (understudy) Ashley Cole ambae Chelsea ndio waliuwa wametoka kumnunua kutoka Arsenal wakti huo ili Ashley kama hayupo basi Bertrand anakuwa anaingia kucheza.
Lakni hata kwenye Carling Cup Bertrand hakuweza kuchezea Chelsea hadi mwaka 2011 (baada ya miaka 6), sasa Fabregas yupo timu kubwa ya Chelsea na anachezea timu ya nchi yake ya Spain na Bertrand bado yupo katika timu ya Southampton na hapati namba kwenye timu ya England.
Unapomtoa mchezaj kwenda timu ingine kwa mkopo ili apate uzoefu inatakiwa iszidi miaka miwili na nadio maana Jack Wilshere alikwenda Bolton kwa msimu mmoja na wengine wengi tu walipelekwa kwenye timu zingine lakin hawajazidisha miaka miwili.
Wale wachezaji ambao wanakuwa walionyesha vipaji hasa kama Fabregas ambae alizna kucheza mechi kubwa baada ya Vieira, Edu na Gilberto Silva kuumia mwaka 2004.
Huu si ushabiki mkuu ni facts tu, halafu mimi sio shabiki tu ni mtaalam khasa wa haya masuala ya uchambuzi hasa mpira.
cech to arsenal is almost a done deal, good signing so far by the gunner, in fact nampenda sana cech ningependa sana angekua mrithi wa de gea but ndio HVO mshamchukua, good signing, safi sana Wenger
Good deal na CHicharito Amerudi....cech to arsenal is almost a done deal, good signing so far by the gunner, in fact nampenda sana cech ningependa sana angekua mrithi wa de gea but ndio HVO mshamchukua, good signing, safi sana Wenger
Prof amefungua pochi na habari ambazo hazijathibitishwa na Gunners ni kwamba mchezaji wa SA Morgan Schneiderlin yupo njiani kukamilisha usajili vile vile golikipa wa ziada wa mafioso Cech mate yupo njiani kutua Colney .... ..... .. total cost £36 million .... ..... ..
Hiyo ya morgan nimeona ila sijaamini bado mpaka niione walau Skysports kiasi kikubwa wako reliable source au BBC
Mkuu usiwe na wasi wasi hao BBC na SKY Sports sisi ndio tunawapa habari patamu hapo khe khe kje khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mambo ya Alaska hayo ..... .... we are nearer than what you think.
Cech tayari naona...............
Hivi ndugu zangu rubaman MwafrikaHalisi Viper na Balantanda wamepotelea wapi? Sijawaona siku mingi aisee..
Salama huko mlipo?
Nawasabahi tu ndugu zangu 