Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu ndio zaingia dimbani sasa.

Arsenal wakiwa wamevalia shati zao za mechi za ugenini za njano zenye mistari ya bluu ilooiva na kaputura za rangi ya Blue iloiva pamoja na soksi sawa na rangi ya kaputura. .

Aston Villa wamevalia jezi za blue nyeupe na kaputura nyeupe pamoja na soksi za rangi ya blue sawa na jezi.
 
Mambo ndio yanakaribia kuiva. ..Prince William ndani ya nyumba
 

Attachments

  • 1433003102022.jpg
    1433003102022.jpg
    63.9 KB · Views: 67
  • 1433003116927.jpg
    1433003116927.jpg
    71.7 KB · Views: 71
  • 1433003128641.jpg
    1433003128641.jpg
    82.8 KB · Views: 67
Wimbo wa taifa wa kumshukuru malkia ndio umepigwa na sasa wachezaji watasalimiana wakiongozwa na wa mjukuu wa malkia wa Uingereza aitwae William.
 
Olivier Giroud atakuwa very disappointed kwa kuachwa nje na Walcott kuchukua nafasi yake lakini ni yeye mwenyewe wa kujilaumu.

kick off
 
Niko hapa wala sina wasiwasi kabisaaaa najua ushindi ni kama kawa, ila nimekereka nilidhani nitaweza kuiangalia mechi ya Tennis kati ya Serena na Azarenka mapema na labda saa hizi ingekuwa imeisha lakini nayo ndiyo inaanza sasa dah! Naona niirekodi hii Tennis match ili niangalie baadaye.

Haya sasa leo ndo leo kila la heri watani wangu.
utafiti BAK Eli79 Wacha1 Honey Faith rubaman
 
Shambulio la kwanza limepita Santi Cazorla alipiga pasi ndefu ambayo ilimkuta Ramsey na akampasia Theo Walcott ambae mwamuzi Jon Moss anasema alikuwa ameotea.

Dakika inakwenda ya 4
 
Christian Benteke anaotea baada ya kutanguliziwa mpira na Fabian Delph upande wa kulia kushoto wa Arsenal.

Aston Villa wamegundua njia kupitia Nacho Monreal
 
Kona kwa Arsenal n inapigwa na Cazorla lakini inakwenda nje.
 
Niko hapa wala sina wasiwasi kabisaaaa najua ushindi ni kama kawa, ila nimekereka nilidhani nitaweza kuiangalia mechi ya Tennis kati ya Serena na Azarenka mapema na labda saa hizi ingekuwa imeisha lakini nayo ndiyo inaanza sasa dah! Naona niirekodi hii Tennis match ili niangalie baadaye.

Ohh!! Pole sana itabid ufanye tu hivyo mimi nimeshukuru Copa de lay wameitupa huko saa 4 hivyo fainal zote nitazicheki bila shida yoyote ila afya migogoro sijui hiyo saa 5 kasoro ntafika bila ya kulala.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sikupenda kabisa Ospina kuanza kwenye bench katika mechi hii muhimu sana, huwa anakurupuka sana huyu na kusababisha magoli ambayo hayahusu kitu.
 
Santi Cazorla anamlamba chenga Benteke na Benteke anapiga kiatu nje ya 18 na anaoneshwa kadi ya njano na Arsenal wanapiga mpira wa adhabu. na unaokolewa.
 
Tim Cleverly nae anaoneshwa kadi ya njano kwa kumpiga kiatu Nacho Monreal.

Sancheeeez! Ahh kipa kapangua!
 
Ramseeeey no inapaa nje juu ya besela!

Dakika inakwenda ya 20
 
Villa wakitangulia kufunga goli ujue kitakachofuata ni parking the bus.... Tumeshakosa magoli kama 3 hadi sasa.. Come Arsenal!!!
 
Back
Top Bottom