Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Muda wa kununua wapenzi wapya unakaribia.... everlenk, RRONDO, Cute b, Nzi, Belo, DonDonald muda wa kukimbia Titanic ndio huu msisubiri mpaka meli ikatike katikati ndio mjue inazama.
 
Muda wa kununua wapenzi wapya unakaribia.... everlenk, RRONDO, Cute b, Nzi, Belo, DonDonald muda wa kukimbia Titanic ndio huu msisubiri mpaka meli ikatike katikati ndio mjue inazama.

Umeanza mambo yako nitakubadilikia sasahivi ohhh!!!!!......unajua hilo goal hata sikuliona nilitoka kidogo kuwapigia dua maana nilihisi ntakupoteza katikati ya dua nikasikia goooooooool.
 
Back
Top Bottom