Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo Grealish atakuwa dukani muda si mrefu...namkubali... Mentor
 
Jamani eeeh hizi nafasi tunazokosa/Villa wanazozikoa zisije kutocost mbeleni.
 
DAKIKA INAKWENDA NI YA 25

Arsenal wanashambulia lakini Villa wanasimama imara.

Cazorla, Ramsey na Ozil wanapanga mipango ya mashambulizi.
 
Arsenal wanaonesha umahiri wa kumiliki mpira na mpaka sasa wanapiliki asilimia 62 na mpir huku Aston Villa wakiwa na asilimia 38
 
Arsenal wamepata nafasi nyingi sana za kumaliza hii game mapema lakini wamezipoteza.
 
Alan Hutton nae anapiga kiatu kwa Alexis Sancheza na anaoneshwa kadi ya njano.

Dakika inakwenda ni ya 34
 
Nahodha wa Villa fabian Delph nae anaingia kwenye kitabu cha mwamuzi Moss kwa kuoneshwa kadi ya njano.
 
Walcooooooooooott

That's was a thunderball

Arsenal 1-0 up Dakika ya 40

Theo Walcott anakutana na mpira wa pasi kutoka kwa Nacho Monreal na anaubamizia ndani ya nyavu za Aston Villa na kipa Shay Given anabaki amesimama, haamini kinachotokea.
 
Back
Top Bottom