Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 105
senks kwa bonge la picha bra
Arsenal wanacheza mpira mtamu bana wacheni utani nyie
senks kwa bonge la picha bra
as well as clear goal Dr. MasaIt was a clear off side anyway! Congrats liverfool
as well as clear goal Dr. Masa
hili la ID limetoka wapi tena? hahahahhahahahaTumia ID moja kijana
hili la ID limetoka wapi tena Dr.? hahahahhahahaha
Hongereni watani..Homeboy Next Level ulivyofurahi mmh! Wacha,Balantanda,Mbu,BAK,Arsene Wenger et al naona matumaini bado yako eeh!..Never Give Up.....
Bora ManUre tulitoka sare maana..
ha ha ha kila siku nakwambia kaombe kazi FIFA hili huwe una make calls.eti goli la offside lile. magoli ya SAHA vipi ? au nayo offside? pole sana mkuu naona jana timu zako zote zimefungwa kasoro moja imetoa draw ha ha ha.It was a clear off side anyway! Congrats liverfool
ndugu yangu mpaka sasa hivi hatuna jinsi bali kushangilia jeshi lolote litakalo tuwakilisha.Arshavin na Song hawatacheza j'tano kwa sababu ya injuries walizozipata tulipocheza na Liverpool. Huu ni mtihani mwingine kwa wenger aliyekataa kununua angalau striker mmoja.
Arshavin na Song hawatacheza j'tano kwa sababu ya injuries walizozipata tulipocheza na Liverpool. Huu ni mtihani mwingine kwa wenger aliyekataa kununua angalau striker mmoja.
Binafsi kukosekana kwa Arshavin hakunisumbui,tatizo lipo kwa Song,ni injini ya timu huu ushahidi ni pale alipoenda Angola for AFCON,pengo lake lilionekana dhahiri...Denilson naye tangu arudi kwenye majeruhi hayupo fit kabisa,sijui itakuwaje aisee