Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

gun__1428155142_ozil-goal.jpg

Vijana wako tayari kukwaana na West Brom kwenye funga dimba ..... ..

West Brom waliwakung'uta Mafioso tatu mtungi nyumbani kwao. Then kale katoto kanakolilia zawadi kakakasirika kama kalivyozoea. Bring them on!

SHARPTON anakutafuta kule kwa spurs
 
Naona Walcott anapalilia mkataba mpya hapa. Arsenal wanatakiwa kutunza nyota wote ule mpango wa kuwauza ufe upesi.
 
Wakuu kuna team mbili mojawapo inaweza kushuka leo. Hawa New Castle wana soft spot moyoni mwangu sitapenda kuwaona wakishuka ila wale Hull ndio nataka washuke. Walcott kiboko Wenger uso umemshuka sijui kwanini huwa anapenda kumuweka benchi huyu.
 
Bruce mwanetu hashuki daraja..... BTW hivi unaona fair NC walichomfanyia Pardew?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Siyo fair lakini ndiyo hivyo tena, kama kuna siku MANU nataka washinde basi ni leo lol! kagoli kamoja tu na wale NC kuwachapa WH.

Bruce mwanetu hashuki daraja..... BTW hivi unaona fair NC walichomfanyia Pardew?
 
Mhhhhh! Haya mambo yako kwenye ligi ya Bongo banaaa, timu inaweza kufungwa hata goli 5 ili mradi tu kuuza mechi bado mko 0-0, na NC wakitoa sare na Hull kutoa sare basi Hull wameenda na maji.

Tushauza mechi hatushindi.....lol
 
Mechi ya leo haikuwa na uzito kwetu. Nafasi ya 3 ilikuwa ni yetu tu hata kabla ya dk 1. Muhimu ni kumpiga Villa jmosi kama tunavyomgonga WBA hivi sasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhh! Haya mambo yako kwenye ligi ya Bongo banaaa, timu inaweza kufungwa hata goli 5 ili mradi tu kuuza mechi bado mko 0-0, na NC wakitoa sare na Hull kutoa sare basi Hull wameenda na maji.

Hahahaha!!! Kwanini umewachukia hivyo HC jamani?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Swali zuri hili lol! walitufunga sijui msimu uliopita kama sikosei ama miwili iliyopita. Halafu walikuwa wanapiga kiatu ile mbaya. Mechi ilikuwa kwao kama nakumbuka vizuri walifurahi utadhani wamechukua Ubingwa wa EPL. Tangu siku hiyo nikawachukia sana hawa. Huwa wanatupania sana na hawa NC kuna wakati walikuwa wananifurahisha sana walikuwa wanacheza kandanda la uhakika na la kuvutia sana, enzi za Allan Shearer.

Hahahaha!!! Kwanini umewachukia hivyo HC jamani?
 
Swali zuri hili lol! walitufunga sijui msimu uliopita kama sikosei ama miwili iliyopita. Halafu walikuwa wanapiga kiatu ile mbaya. Mechi ilikuwa kwao kama nakumbuka vizuri walifurahi utadhani wamechukua Ubingwa wa EPL. Tangu siku hiyo nikawachukia sana hawa. Huwa wanatupania sana.

Kha!! Kumbe!!! Pole sana, Bruce mwanetu jamani hatutapenda washuke daraja.....NC keshapata bao..... LVG amewakazia kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Safi sana khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee kicheko cha kujidai kutoka mtaani kwetu Emirates. lol! Sasa mechi imalizike

Haya bana!! Fellain kapata red HC wakishindwa tena hawabebeki hata kwa mbeleko la chuma.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hatimaye! Huyu jamaa ni mchezaji rafu mzuri sana nyingi za kichinichini alistahili kupata red card siku nyingi sana lakini referees walikuwa wanampotezea.

Haya bana!! Fellain kapata red HC wakishindwa tena hawabebeki hata kwa mbeleko la chuma.....
 
Back
Top Bottom