JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Kumbe za kirejareja mie nikajua za jumla jumla![]()
Ramsey akifanyiwa foul za kirejareja na wachezaji wa Manure ... .. .
Kumbe za kirejareja mie nikajua za jumla jumla![]()
Ramsey akifanyiwa foul za kirejareja na wachezaji wa Manure ... .. .
Kwa mpira huu hatutapata kombe msimu huu. Period.
FA cup final itakuwa hivi hivi afu tunapigwa goli la mkono.
Pole sana mtani, sioni watu wa kuchukua FA hapa,kwa kweli msipoangalia Villa anabeba.......jitazameni kwa upya .