Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumepat point sio mbaya though ilitupasa kushinda ni ukweli uliowazi kuwa jamaa walikuja kutafuta point moja na wameipata all in all macho yote na akili zote to the next game with Hull.
#COYG


Mkienda OT Man u wanawafunga....nafasi ya 4 inawahusu...

Shikamoo Mourinho.....
 
Lets wait and see but sijui unaiongelea Man Useles ipi hii hiii ya Martinez Ooooooopss!!! sory hiii Van Gal.


Kwa mpira Wa wonga mliocheza Leo OT unafungwa Na nafasi ya 4 inakuhusu.....

Shikamoo Mourinho......
 
Kwa mpira Wa wonga mliocheza Leo OT unafungwa Na nafasi ya 4 inakuhusu.....

Shikamoo Mourinho......

Ndugu unanipa mashaka na undestanding yako ya game

sio rahisi tukufunga tukicheza hivi....

it is a tactical approach ambayo ni ngumu sana kuitoboa....

tuna shinda our game in hand na INAKUWA 5 POINTS clear with manure kabla ya mechi yetu na wao

kumbuka wanapigika wale kirahisi ni kitu kidogo ku outsmart mbinu zao

Tuombe uhai MANURE hatufungi OT kwa form tuliyopo thats for sure i can even bet for it
 
Kwa mpira Wa wonga mliocheza Leo OT unafungwa Na nafasi ya 4 inakuhusu.....

Shikamoo Mourinho......

kitu kingine kumbuka [Bookmark hii post]

hatupotezi any game to end of the season again

2ND PLACE + FA ni achievement kubwa sana itakuwa tumemaliza 2nd place 2005 mara ya mwisho

ukikataa facts wewe utakuwa na yako moyoni
 
Kuna uwezekano wa Wenger kustaafu msimu huu??

kutokana na mafanikio ya timu mpaka sasa pengine asistaafu ila aliwahi kusema msimu uliopita kama asingeshinda FA angestaafu pia kujiuzulu kwa klopp kuna nipa mashaka Wenger asije mwachia kiti
 
Humu leo ni full kuinanga Man U tu, mmeona ni uchochoro eeeehh??!!
Hongereni The gunners kwa kupata point 1.
 
kutokana na mafanikio ya timu mpaka sasa pengine asistaafu ila aliwahi kusema msimu uliopita kama asingeshinda FA angestaafu pia kujiuzulu kwa klopp kuna nipa mashaka Wenger asije mwachia kiti

ana miaka 2 mbele baada ya kuisha huu msimu

wenger hawezi kuvunja mkataba kamwe..

navyoona anataka kubeba EPL ndo aondoke vizuri ndo maana alisaini 3 years na akasema Arsenal will win EPL trophy in three years

so ikiwa tutamaliza wa pili ikafanyika investment ya kikosi next season tunafire all cylinders to EPL trophy
 

28072F7D00000578-3056215-image-m-135_1430066115617.jpg



280704C900000578-3056215-image-m-125_1430065835168.jpg



Ka-cesc kamejifunza diving tangu kalipokimbilia kwa mafioso
ngoja chacha kakae benchi kwa mechi mbili mfululizo ndipo katakapopata akili

28070F3F00000578-3056215-image-m-94_1430063089669.jpg


Cry baby Moureeen
Khe khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeee


1430064922661_lc_galleryImage_Football_Arsenal_v_Chelse.JPG


OG did get support in front today .... ..

1430066017694_lc_galleryImage_LONDON_ENGLAND_APRIL_26_F.JPG


Cesc hakufua dafu kwa Coq

1430066788374_lc_galleryImage_Arsenal_v_Chelsea_Premier.JPG


Instructions to park the bus

2807240400000578-3056215-image-m-107_1430065086781.jpg


Carz alikuwepo .... ...

2807339500000578-3056215-image-m-113_1430065556062.jpg


Ramsey alikuwepo

Missed chances: Ozil, Welbeck ...... ........ ......

Its not over until is over .... ... .. .COYG


 
Hongereni majirani kwa ushindi...maana kwenu ku draw na Chelsea ni ushindi labda muombe Mourinho aondoke...!

In other news naomba kupingana na Ntuzu, I think Ars8nal watamfunga ma3 utd. Wanacheza vizuri ni vile leo wamekutana na kisiki.

'We are hard to beat' - emmanuel petit
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom