Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Daah Alexander Hleb! Hivi sasa hivi yuko wapi?
Nafikiri uturuki....alikuwa Beralus kwao timu ya BATE lakini alihamia Turkey
Alifuata pesa Barca yaliyomkuta ni majuto tu
Daah Alexander Hleb! Hivi sasa hivi yuko wapi?
Nzi upo wapi kaka? Nilikwambia nitaisaka hii post,jitayarishe kutimiza hii ahadi msimu ujao.
Cc Belo, DonDonald, RRONDO, Malafyale,
Loserfools simwesabu sasa...bado goons, ligi hajaisha blaza...tulia ligi iishe ndipo tujue nani mshindi..
Loserfools simwesabu sasa...bado goons, ligi hajaisha blaza...tulia ligi iishe ndipo tujue nani mshindi..
Kumbuka tumecheza mechi moja pungufu yenu na bado tunakuja kuwapiga ubaya O.T wiki chache zijazo. Na sasa kuna uwezekano wa Rooney kukosekana msimu mzima pia One man team Carrick naye hatakuwepo(mechi kadhaa) lazima mtapoteza points kibao.
Hapo bado unaongelea wakati ujao, na ni suala la 'probability'.
Ila sielewi unavyosema lazima United ipoteze points kibao. Yaani unasisitiza lazima kama vile wewe ushajua matokeo tayari.
Ushabiki wa aina hiyo mimi sina siku...kwani najua kwenye soka kuna uwezekano wa kupata matokeo matatu.
Ushabiki huo utaongea na Malafyale.

hawa jamaa wanaongea sana, kuwa above man u on table washafanya ni ubingwa, poor arsenal
Ahsante kwa kunikumbusha mkuu. Nilikuwa sijui kuwa ulivyosema Man Utd itamaliza ligi ya (msimu huu unaondelea)juu ya Liverpool na Arsenal miezi kadhaa iliyopita ulikuwa unaongelea katika past tense.
Steve Bruce said:"I find that quite astonishing. He has been a main problem, for us British coaches. The introduction of Arsene Wenger was one of the first (overseas bosses) 18 years ago, he has been in the top four for the last 17 years, won three Premier Leagues, five FA Cups, they are in the final of the FA Cup again and still people question him.
Ahsante kwa kunikumbusha mkuu. Nilikuwa sijui kuwa ulivyosema Man Utd itamaliza ligi ya (msimu huu unaondelea)juu ya Liverpool na Arsenal miezi kadhaa iliyopita ulikuwa unaongelea katika past tense.