Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BAK ni wewe huyo?????? Mtajuta kutufahamu khe khe khe kheeeeeee shikamoo Mourinho.....

Oh ana paki basi oh sio kocha oh mjanja mnjanja tu.....khe khe khe ndani ya Emirates the blues wanasumbua........

Shikamoo Mourinho

Kweli wanasumbua kwa kupaki.
 
Last edited by a moderator:
siwezi kuangalia second half. Mtanipa matokeo. Hata hivyo tutakuwa watatu hata tukifungwa. Wale jamaa naona wameshakubali nafasi ya 4 ni yao, nilikuja kusalimia , nasubiri waje kulalamikia penati hewa. Midaz pipoz
 
hahahahahahaha preshaaaaaaa
 
Mnaweza mkadhani labda leo wamekuja kwa mguu ila hilo bus mtaliona watakapo watangulia..!! 🕔
 
Kutoka kwa Coq ni kifungo chetu. Ningemtoa Cazorla kumwingiza Walcott
 
Naona Wenger yupo very desperate kumfunga Mourinho, anafanya subs za liwalo na liwe. Chelsea wanaweza kutupiga a sucker punch na kuondoka na 3points mwishoni mwishoni
 
Back
Top Bottom