utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Jamaa watapark mabus mangapi sijui leo. Tuombe Mungu Mkuu. COYG!
No parking pale mkuu, mabasi yao wataacha nje 😉😉😉
Jamaa watapark mabus mangapi sijui leo. Tuombe Mungu Mkuu. COYG!
PAMOJA mkuu, ngoja tuangalie mtaa wa 7 unavyopotezwa hapa...!!Wakuu wa Gunners leo point 3 ni muhimu sana kwetu ili tupunguze gap na yule wa juu huku tukimuachia manyoya yule wa chini yetu. So kila lililo kheri kwa Gunners ni matumain yangu kuwa point 3 muhimu zinabaki pale Ashburton Grove.
Tukutane hapa wadau wote Mbu, BAK, Sizinga Wacha1, Richard utafiti et...al
#COYG
Hahaaa leo kahistoria kenu mnachotaka kujiwekea kanavunjwavunjwa...pambaaaav sana!!Mtajuta kutufahamu....
Shikamoo Mourinho
Hakimbii mtu, lini umeshuhudia watu wakikimbia humu??Mtakimbiana humu ndani leo
Hahahaaah,,,,,,mheshimiwa za siku nyingi.Mtajuta kutufahamu....
Shikamoo Mourinho
Hakimbii mtu, lini umeshuhudia watu wakikimbia humu??
Haoni thread zinazokimbiwa.....!!!Mwambie huyu aache kukurupuka na kuropoka. Hatuna kawaida ya kukimbia.
Nafurahi sana kukuona jukwaani mkuu....Kila la kheri wakuu , mechi muhimu na ushindi lazima.
Salaam gooners wote na wakuu wa jukwaa la michezo.
Nafurahi sana kukuona jukwaani mkuu....
Kitambo sana Chief...
COYG
Naombeni mwenye link ya kuangalia online anisaidie wakuu...
Together We Stand
Wakuu naomba msaada wa link ya kuangalia game hii online....