Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Wakuu naomba msaada wa link ya kuangalia game hii online....
goatd.net
Jaribu hapo
http://goatd.net/110724/watch-arsenal-vs-chelsea
Wakuu naomba msaada wa link ya kuangalia game hii online....
Thanks sana mkuu...Naangalia hapa
Hahahaaah,,,,,,mheshimiwa za siku nyingi.
Kila la kheri wakuu , mechi muhimu na ushindi lazima.
Salaam gooners wote na wakuu wa jukwaa la michezo.
Fabregas ameanza lini jamani tabia ya kudive? Morinyo mwehu Sana keshamfundisha ujinha Fab
Thanks sana mkuu...Naangalia hapa
Hahaaa leo kahistoria kenu mnachotaka kujiwekea kanavunjwavunjwa...pambaaaav sana!!
​Mkuu ulipotea kwa kipindi kirefu sana. Nimefurahi kukuona, natumai kila kitu kiko shwari.
Mkuu kila kitu salama.
Tuli invest mda mwingi sana kwenye timu yetu ilibidi tupunguze kidogo ha ha ha.
Sema nafurahi kuona wakuu mpo mnawakilisha na kuendeleza jukwaa.
​Wetu leo hawa manina zao.
​Wetu leo hawa manina zao.
Referee kaminya penalty yetu ya wazi kabisa.
Hawatabiriki hawa jamaa...Wanafanya counter attacks....Wakitupiga kimoja tu wanapaki bus....​Wetu leo hawa manina zao.