Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nipo Mkuu siye wengine tunafuatilia michezo mbali mbali. Just to name a few they include basketball, tennis, formula 1, goroli 🙂🙂 etc. Kuna mchapo mzuri unaendelea kwenye TV kati ya Southhampton na Spurs ndio naufuatilia sasa hivi.


Zaidi ya soka labda tennis, rugby na F1 kidogo...! I've never liked basketball sijui labda nature ya mchezo ndio siipendi.
 
Mie basketball wala sikuwa mpenzi kihivyo ingawaje niliwahi kuhudhuria few games pale Gymkhana na friends katika mechi za timu maarufu za Tanzania. Nilipoanza kuangalia NBA Games wakati Michael Jordan ndiyo yuko kwenye peak lakini timu yake Da Bulls haijashinda ubingwa hata kumjua nilikuwa simjui ila nilivutiwa na uchezaji wake na leadership style basi nikawa hooked na haikupita miaka mingi Da Bulls wakaanza kuchukua ubingwa na mimi kuanza kumsoma MJ kwenye magazeti na web sites mbali mbali na kugundua jinsi alivyo maarufu duniani kote. Ni mchezo uko poa sana hasa ukijua sheria zake lakini michezo yote tisa kumi ni real football.

Zaidi ya soka labda tennis, rugby na F1 kidogo...! I've never liked basketball sijui labda nature ya mchezo ndio siipendi.
 
Wenzako wote wanaogopa kuja huku, hongera kwa kujitutumua kuja ....... nipelekee salamu zangu kwa Ntuzu kunguru mjanja na b5-click.........


Eli79 mwanangu narudia tena uwe hodari na moyo wa ushujaa tu.........

Kazi za watu mama bize.. nimeku-mi... malizia mwenyeweee.
Eli79 aga kabisa wenzako.. ban inakuhusuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Aisee tupe japo heshima kidogo basi Eli79 maana sisi ndio timu ya kwanza ktk jiji la London kuchukua kombe la UEFA sasa kuongea bila kuonyesha heshima unakua unakosea sn mukulu.



Sijapaona aisee...naona umeandika majogoli...



Mourinho uefa haijamshinda Na hao kina Ancelloti ndio saizi Yake Mourinho Na sio Wenger. Wenger anashindwa ata Na Di Matteo. Di Matteo alishawahi kua bingwa Wa ulaya Wenger alishawahi?

PSG bahati ilikua yao tu lkn hawana lolote wale.
Kwahiyo nyie ni mabingwa wa London kiyu-UEFA????
 
Last edited by a moderator:
rubaman jaribu kupitia huku utoe mbinu za kulivunja daraja hapo kesho... nifah leo hakamatiki yupo maeneo na wadada huko, nae ni mnazi apite tu atoe yake ya moyoni. Mkuu BAK nae katingwa, si unajua lazma watu walee ndoa leo wikiendi. Wote watakuja na hakika mikakati ya kulivunja daraja inawekwa...

Absolutely! Sikamatiki na niko busy kwelikweli. Ila hayo yote hayawezi kunisahaulisha mchezo huu wa kesho ambao kiukweli unanipa presha sana kwa jinsi mambo yalivyo hivi sasa kwenye msimamo wa EPL.
Sina la kusema zaidi ya kuitakia na kutegemea ushindi kutoka kwa club yangu kipenzi Arsenal.
Tupo nyumbani,ni bora hata tutoke sare kuliko kupoteza kabisa mchezo huu muhimu kwetu.
 
Last edited by a moderator:
zp_549797891_SM_6589_AF40D1DE36371C1F4445E7B00AAA213F_4996.jpg


zp_549797891_SM_6641_5D39C359156FA17A4FA1F1A12DE6E748_4567.jpg



zp_549797891_SM_6697_131F18A5029C1B48BA967F77373419C4_1181.jpg



zp_549797891_SM_6776_91CEEF2ABBAAE42FC3ADC4D57EC96E94_1476.jpg



zp_549797891_SM_6842_298928C61F06F09E58DD6851872D130F_7824.jpg



zp_549797891_SM_9532_438B25CBD244043027BFB8FD955F3D3E_5711.jpg



zp_549797891_SM_9547_2BEE677442E5CFEAC1A66C77EE70E489_8736.jpg


Prof alikuwa kwenye ulinzi mkali leo kuwaona vijana wakiwa ready kwa mtanange wa kukata na shoka kesho

zp_549797891_SM_9648_7139F6EC932105861453DE0482466855_7775.jpg



zp_549797891_SM_9686_19EAD04D2E371DA94BE886B1FCC65C27_5216.jpg


zp_549797891_SM_9703_9D6AC24F9C70F38826F663ADBE83F4B9_1568.jpg


zp_549797891_SM_9737_1C4D2F3DD2CACD53EA497E519A0F8D98_9978.jpg


zp_549797891_SM_9767_5D9A4C8308180941C2C6791885D20862_7345.jpg



zp_549797891_SM_9812_E15765BDAC9B7B8463EEC523732375E1_6086.jpg


zp_549797891_SM_9831_C370F12ED5326A1DEBDBF293CA2AE756_7587.jpg


COYG kila la-kheri kwa vijana wa Gunners na all who support the club
 
C O Y G..
Naona leo domo kaya atakuja na mabasi yote ya LONDON!
Ila ushindi upo...


Tuweke basi kwako ili iweje? Sisi tunakuja kukuzimisha hapo hapo....Leo utabaki nafasi ya 4.... Hiyo ndio nafasi yako.
 
Wakuu wa Gunners leo point 3 ni muhimu sana kwetu ili tupunguze gap na yule wa juu huku tukimuachia manyoya yule wa chini yetu. So kila lililo kheri kwa Gunners ni matumain yangu kuwa point 3 muhimu zinabaki pale Ashburton Grove.
Tukutane hapa wadau wote Mbu, BAK, Sizinga Wacha1, Richard utafiti et...al
#COYG
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa Mkuu nafuatilia huu mchapo wa mwanzo. 3 points ni muhimu sana leo.

Wakuu wa Gunners leo point 3 ni muhimu sana kwetu ili tupunguze gap na yule wa juu huku tukimuachia manyoya yule wa chini yetu. So kila lililo kheri kwa Gunners ni matumain yangu kuwa point 3 muhimu zinabaki pale Ashburton Grove.
Tukutane hapa wadau wote Mbu, BAK, Sizinga Wacha1, Richard utafiti et...al
#COYG
 
Back
Top Bottom