Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hodi hodi Highbury...fungua mlango tukamilishe ratiba. Teh teh teh

Hihgbury? Mkuu upo dunia ya mwaka gani? Walihamia Ashburton Grove aka Emirates. Highbury walijenga magenge ya kuuzia vitunguu na mafungu ya nyanya( wachezaji wa mafungu)hahahaha
 
Ha ha ha niliyakumbuka maskani ya zamani najuwa wapo emirates this time.
 
Last edited by a moderator:
Wenzako wote wanaogopa kuja huku, hongera kwa kujitutumua kuja ....... nipelekee salamu zangu kwa Ntuzu kunguru mjanja na b5-click.........

Eli79 mwanangu narudia tena uwe hodari na moyo wa ushujaa tu.........

Hakuna anaeogopa mamito....wenye Nyumba hii ndio Wanaogopa. Angalia tu hawana ata tambo km wewe na wadau wengine Wa Man Utd mlivolisongesha mpk ikaleta raha kubwa kabisa. Sasa tukija humu tukiwapa tambo hakuna yoyote anaejibu inabidi kutulia home ktk thread yetu tu. Huku hakuna cha Eli79 wala BAK wote wanaogopa.
 
Teh teh teh!! Nyie mnaogopana bana hakuna mwenye uhakika na mechi ya kesho, Labda Ars wanaongea kwa Vitendo hawataki kuongea kwa maneno na pengine Eli79 anaoogopa yaliyomkuta everlenk....lol
 
Sisi hatuwaogopi hawa kwasababu record yetu kwao iko vzr kabisa. Sema ninachokiona kwa hawa ndugu zetu sio wazuri kwa tambo km nyie....hapa wanasubiri kwa kesho wakitufunga tu basi wajae humu Na kule kwetu iwe shida.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!! Nyie mnaogopana bana hakuna mwenye uhakika na mechi ya kesho, Labda Ars wanaongea kwa Vitendo hawataki kuongea kwa maneno na pengine Eli79 anaoogopa yaliyomkuta everlenk....lol

Sports lady leo tangy asubuhi nimetingwa hapa sijaingia. Nimuogope nani eti? Hao Chelsea ni wakuogopa? Labda ungesema Barcelona, Real Madrid, Bayern Munchen na Juventus a.k.a the old lady. Wao ndio wanaongoza ligi zao na hakika tunaona wanachofanya huko uefa. Sasa hawa Chelsea tambo zao ni hapo uingereza tu, wenzio wote waoongoza ligi zao tunaona wanchokifanya huko majuu... Ntuzu, b5-click na wengine wote hawamtishi mtu.
 
Last edited by a moderator:
rubaman jaribu kupitia huku utoe mbinu za kulivunja daraja hapo kesho... nifah leo hakamatiki yupo maeneo na wadada huko, nae ni mnazi apite tu atoe yake ya moyoni. Mkuu BAK nae katingwa, si unajua lazma watu walee ndoa leo wikiendi. Wote watakuja na hakika mikakati ya kulivunja daraja inawekwa...
 
Hahahahhahah!!!! Safiii,ningeshangaa kama watoto wadogo wangekutisha, hawana lolote hawa kazi kupaki mibasi tu .... Ntuzu usipaone hapa tafadhali...... Lol
 
Hawana lolote hawa. Hao PSG tu wamekuwa mwiba...uefa mouthrinho kapashindwaaa, Ancelloti anamfundisha kazi kule Bernabeu. Ngoja kesho tuwapige kidogo ili kuchekewesha ubingwa wao manake kila mtu naona anausubiri tuuuu..
 
Aisee tupe japo heshima kidogo basi Eli79 maana sisi ndio timu ya kwanza ktk jiji la London kuchukua kombe la UEFA sasa kuongea bila kuonyesha heshima unakua unakosea sn mukulu.

Hahahahhahah!!!! Safiii,ningeshangaa kama watoto wadogo wangekutisha, hawana lolote hawa kazi kupaki mibasi tu .... Ntuzu usipaone hapa tafadhali...... Lol

Sijapaona aisee...naona umeandika majogoli...

Hawana lolote hawa. Hao PSG tu wamekuwa mwiba...uefa mouthrinho kapashindwaaa, Ancelloti anamfundisha kazi kule Bernabeu. Ngoja kesho tuwapige kidogo ili kuchekewesha ubingwa wao manake kila mtu naona anausubiri tuuuu..

Mourinho uefa haijamshinda Na hao kina Ancelloti ndio saizi Yake Mourinho Na sio Wenger. Wenger anashindwa ata Na Di Matteo. Di Matteo alishawahi kua bingwa Wa ulaya Wenger alishawahi?

PSG bahati ilikua yao tu lkn hawana lolote wale.
 
Last edited by a moderator:
Nipo Mkuu siye wengine tunafuatilia michezo mbali mbali. Just to name a few they include basketball, tennis, formula 1, goroli 🙂🙂 etc. Kuna mchapo mzuri unaendelea kwenye TV kati ya Southhampton na Spurs ndio naufuatilia sasa hivi.

Back
Top Bottom