Nasikia Jurgen Klopp anakuja Arsenal
![]()
Hii picha imenichekesha muangalie mcheza wa Reading anayetambaa na golikipa wao lol!
Tunakuja kwako j2.......we jiandae vzr...
Wewe umejiandaa unadhan kuna akina Urojo pale Ashburton grove.
Hahahaaa mtakimbia siku hiyo...
Sasaivi Wenger yuko ktk Giza kubwa haelewi Mou atapanga mbinu gani....