Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I got you brother BAK.

Whatever,but I like your quotes style.

There is a possibility to play with them on the final match, but they have to be extra careful with AV and that guy Benteke is in excellent form, lol! hahahahaha wewe quote vile upendavyo 🙂🙂.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
_82411489_federici_error.jpg
Goalkeeper Adam Federici was making his 232nd appearance for Reading

Hey, Shezny gifted them the equalizer as well.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Thanks nifah We (gunners) are happy today that we won the game, it was not easy but once again we're in the final FA Cup game on May 30th, 2015 to defend what we did last year.

I got you brother BAK.

Whatever,but I like your quotes style.
 
Huyu jamaa yaani ingekuwa ni amri yangu asingekaa golini kabisa labda kama Ospina kaumia au anaumwa. Magoli mengi tunayofungwa akiwa golini husababishwa na kiherehere chake.

Hey, Shezny gifted them the equalizer as well.
 
Huyu jamaa yaani ingekuwa ni amri yangu asingekaa golini kabisa labda kama Ospina kaumia au anaumwa. Magoli mengi tunayofungwa akiwa golini husababishwa na kiherehere chake.

Jamaa alitukosti ubingwa wa Carling Cup vs Birmingham. Unakumbuka ile mechi? Nadhani hata mabeki hawamwamini kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
We acha tu mie nilivyoona kapiga zoezi la nguvu siku chache kabla ya hii mechi basi nikajua tu Wenger anataka kumpanga, ila nikawa naomba Mungu asifanye makosa ya kumpanga huyu. Kwenye final game akae mbali na goli si wa kumuamini kabisa huyu kwa kiherehere chake. Hata rekodi yetu nzuri katika mechi nyingi za hivi karibuni imesababishwa pia na Ospina kuwa makini sana golini, angekuwa huyu labda baadhi ya mechi tungepoteza.

Jamaa alitukosti ubingwa wa Carling Cup vs Birmingham. Unakumbuka ile mechi? Nadhani hata mabeki hawamwamini kabisa.
 
Jumapili tutakuwa tumechoka baada ya kucheza 120 Minutes. Natarajia Walcott acheze winga, Gabriel CB, Monreal LB, Bellerin RB. Tusipofanya makosa kama kawaida yetu vs Chelsea na Manchester United, tutaweza kuondoka na point 3.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
1429369681341_lc_galleryImage_A_general_view_of_Wembley.JPG

1429371484195_lc_galleryImage_LONDON_ENGLAND_APRIL_18_A.JPG

Prof akiingia Wembley

1429373478167_lc_galleryImage_LONDON_ENGLAND_APRIL_18_D.JPG

Welbeck hawezi kuwa No. 9 kama anavyopenda

1429374444187_lc_galleryImage_Football_Reading_v_Arsena.JPG

27B60E1F00000578-3044993-image-m-69_1429382405889.jpg

Man of the match Alexis .... ... 2 goals and counting .... .

27B56A5200000578-0-image-a-22_1429376787072.jpg

You will like this guy .... .

27B58FE300000578-0-image-a-32_1429377924047.jpg

Sanchez struck clinically after Mesut Ozil passed to him excellently

27B5754500000578-0-image-m-30_1429377077474.jpg

27B56A0600000578-0-image-a-25_1429376845566.jpg

Striker Sanchez (right) celebrates alongside team-mate Keiran Gibbs after scoring for Arsenal against Reading

27B5AF9300000578-0-image-a-45_1429379144337.jpg

Reading thought its over .... . ..

27B5F96100000578-3044993-image-a-62_1429381869248.jpg

Prof akiwaambia vijana wasiwe na wasi wasi .. .
.

27B5C33800000578-0-image-a-50_1429379720255.jpg

Gabby header .... ... .

27B5C3AB00000578-0-image-a-54_1429379772153.jpg

Saved by a whisker ... ...

27B5554C00000578-0-Alexis_Sanchez_centre_took_the_ball_past_goalkeeper_Adam_Federic-m-21_1429376178868.jpg

27B53B7C00000578-0-image-m-12_1429375855494.jpg

Every trick .. ... ... was used ... ..
 
27B593F100000578-0-image-a-35_1429378131379.jpg

Kos solid at the back ..

27B58C3600000578-0-image-a-40_1429378594388.jpg

Cog alikuwepo .....

27B5FCB500000578-3044993-image-a-59_1429381809866.jpg

Prof was frustrated by poor decision from the referee
 
27B61C6A00000578-3044993-image-a-95_1429383885373.jpg

Who else ... .. .

27B654C100000578-3044993-image-a-1_1429385121487.jpg

27B6166900000578-3044993-image-a-111_1429384431324.jpg

27B654B600000578-3044993-image-a-2_1429385127723.jpg

27B6249600000578-3044993-image-a-5_1429385213985.jpg

27B614FD00000578-3044993-image-a-114_1429384542650.jpg

27B6421B00000578-3044993-image-a-108_1429384281882.jpg

kufungwa kubaya asikwambie ntu ... ..

27B651AB00000578-3044993-image-m-118_1429384894195.jpg

The two howlers ... .. .

Next Mafioso team at the Emirates - EPL Sunday 26th ... ... kick off 16:00 BST
 
Huyu jamaa yaani ingekuwa ni amri yangu asingekaa golini kabisa labda kama Ospina kaumia au anaumwa. Magoli mengi tunayofungwa akiwa golini husababishwa na kiherehere chake.

Tatizo sio wosjiech peke yake yake

  1. Tunapocheza games za CUPs hasa wembely tunaanza so Slow tunaruhusu unnecessary domination ya timu pinzani
  2. Welbeck kucheza kama CF bado sana to be honest OG is miles far away for him hakuna haja ya kucheza na welubeki na hasifanye enough movement pale mbele kama leo
  3. Kikosi cha akina Bellerin na Nacho ni bora zaidi
  4. Mesut game kama ya leo ambayo watu wanaparamia ana under perfome sana
  5. kwanini Mesut hapigi sehemu anayokuwa anaweza kufunga....mpaka analzimisha assist?

Bora wapite Villa maana LIVERPOOL kwa mtindo wetu huu wa kuanza slow kwenye games kama hizi watatumaliza ukumbuke kuwa wana machungu they will come for REVENGE
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hili la kuanza mechi too slow nimeliona katika mechi zetu nyingi sana na kama jamaa wakifunga mbili za haraka haraka mchezo ndio umeshakwisha maana watakuwa na confidence ya hali ya juu na sisi kuwa desperate kutafuta goli la kupunguza gap. Na katika jitihada hizi defensive mistake nyingine inaweza kutokea na kutandikwa la tatu. Sijui kwanini Wenger halioni hili. Tunaanza mechi muhimu kama tuko mazoezini au mechi ya kirafiki.

Chelsea vs QPR, Chelsea wins: 73pts. Arsenal vs Burnley, Arsenal wins: 66pts.
Chelsea vs Man utd, Man utd wins: 73pts. Arsenal wouldn't play bcoz of the FA Cup semi: 66pts.
Chelsea vs Arsenal: Arsenal wins, Chelsea 73pts, Arsenal 69pts. Chelsea vs Leicester, game in hand ends in a draw for Chelsea: 74pts.
Chelsea vs Crystal Palace, Chelsea wins: 77pts. Arsenal vs Hull city, Arsenal wins: 72pts.
Chelsea vs Liverpool, Chelsea lose: 77pts. Arsenal vs Swansea, Arsenal wins: 75pts.
Chelsea vs West Brom, Chelsea wins: 80pts. Arsenal vs Man utd, Arsenal wins: 78pts. Arsenal vs Sunderland, Arsenal wins their game in hand, goes top with 81pts.
Final day Chelsea vs Sunderland, Chelsea wins: 83pts. Arsenal vs West Brom, Arsenal wins: 84pts.
FINAL TABLE standings Arsenal (champs) 84pts Chelsea 83 points
Chelsea vs man united.........
 
Hili la kuanza mechi too slow nimeliona katika mechi zetu nyingi sana na kama jamaa wakifunga mbili za haraka haraka mchezo ndio umeshakwisha maana watakuwa na confidence ya hali ya juu na sisi kuwa desperate kutafuta goli la kupunguza gap. Na katika jitihada hizi defensive mistake nyingine inaweza kutokea na kutandikwa la tatu. Sijui kwanini Wenger halioni hili. Tunaanza mechi muhimu kama tuko mazoezini au mechi ya kirafiki.

Nasikia Jurgen Klopp anakuja Arsenal
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongereni kwa ushindi wa kwenda fainali..

Aise pole sana naona Mentor aka Mungiki Brother kakukimbia pale Ethad umebaki peke yako, naona pesa zimewapagawisha wachezaji wenu jipangeni tu chacha mwakani.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom