Nipo nafuatilia kwa karibu sana. Mzima lakini weye? Ila kuna wakati nilikuwa na wasiwasi sana.
![]()
Alexis Sanchez has now scored 22 goals in all competitions for Arsenal this season
Vipi final tutakutana na jogoo tena au?
Na vipi kama tukikutana nao unaonaje? Possibility ya kushinda ipo?
Nimejisahau nikaquote hivi... aaarg!