Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kulaleki refa anawabeba. Ramsey anakumbatiwa ndani ya 18 no penati inayotolewa.
 
Gibbs na Shezz wametukost ushindi.... Hawatakiwi kupangwa kama Monreal na Ospina wakiwa fit. Extra 30 minutes za kijinga hizi ikizingatiwa tutacheza na Chelsea next weekend, tunajichosha wenyewe.
 
Arsenal huwa hawachezi vizuri Wembley sijui ni kwa nini. Uwanja ni mkubwa au pitch ni mbovu?
 
Wenger kaamua liwalo na liwe. Walcott kaingia Coq nje. Sitoshangaa tukipoteza hii mechi kwa penati kama sio 2-1. Nevertheless Come on Arsenal!!!!!!
 
Wapi BAK? Ulinisisitiza nisikose hii game leo wewe huonekani!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
5minutes to go plus adden ons... Come on ARSENALLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
 
Naona baadhi ya mashabiki wa Reading wameanza kutafuna kucha, 2 more minutes to go.
 
Back
Top Bottom