Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
mkuu pole sana kwa vile nilikuwa sirudi jukwaani huku sema iraqgoals ilikuwa powa sana.sawa mkuu, leo streams zilikuwa noma sana!
mkuu pole sana kwa vile nilikuwa sirudi jukwaani huku sema iraqgoals ilikuwa powa sana.sawa mkuu, leo streams zilikuwa noma sana!
(Mnong'ono) duuh mbona nyingi hivyo?(Mnong'ono)..."ngojeni kwanza, wamepewa 7extra minutes...
......Shhhhhhhh!!!...."
(Mnong'ono) duuh mbona nyingi hivyo?
yaap.tunamshukuru mungu manake tulinyanyasika sana mechi mbili zilizopita.AW
Niambie ? naona leo kwa kiasi kikubwa vijana wanachea kwa determination.
Mungu bariki Arsenal.
(Mnong'ono) duuh mbona nyingi hivyo?
Currently Active Users Viewing This Thread: 7 (6 members and 1 guests)
Balantanda, Arsene Wenger, Baba Mkubwa, Kiraka, MpigaFilimbi, Wacha1
Wenye nyumba sijui wako wapi leo(au ndo mambo ya shhhhhhhhh kimyakimya)🙂🙂
Picha ni muhimu wakuu....walizani kutufunga basi wamemaliza ligi....Arsenal leo tunatamba, Chelsea wakalale........Na mpira umekwishaaaaaa (Chelsea 1 - 2 Everton)! aha haaa haa haaa..😀😀😀
Hebu nikalale mie....
Wacha1, picha tafadhali!!!
Mkuu edit post yako moja ulipotaja majina, mimi si Baba Mkubwa+, ni Baba Mkubwa......ukienda muhimbili ulivyoandika basi watu watajuwa Arsenal haijashinda na leo.....[B said:Balantanda[/B];
Mkuu edit post yako moja ulipotaja majina, mimi si Baba Mkubwa+, ni Baba Mkubwa......ukienda muhimbili ulivyoandika basi watu watajuwa Arsenal haijashinda na leo.....
Mmesikia lakini Everton 0 - 3 Chelsea makubwa haya.
Nimeedit tayari..Ila inavyoonekana ndo kama nilivyoandika awali Baba Mkubwa+,sijui ni kwa nini ati