Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niklas Bendtner amekosa nafasi mbili za wazi

Nasri injured
 
boring first half.tuja create nafasi nyingi, i hope second half tutaweza ku-create.

Naona leo attitude ya Team ni nzuri wanacheza kitimu aidi, wanasaidiana hata kukaba , naona mpaka Bendtner anarudi kukaba baada ya kupoteza mpira.

Tatizo ambalo najua AW analijutia hatuna clinical finisher.

Nimeona goli la Everton la kusawazisha nikaona hata Saha angetusaidia kwenye hii nafasi ya striker.

Tuone second half.
 
Wakuu hakuna mwenye stream inayofanya kazi vyema, naona leo taabu kwenu hawa jamaa!!!!
 
AW
Niambie ? naona leo kwa kiasi kikubwa vijana wanachea kwa determination.
Mungu bariki Arsenal.
 
diaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabbbbbbbbbbbbbbbbbyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

sasa tuwatafute wanga wako wapi.
 
Back
Top Bottom