Hebrew
JF-Expert Member
- Jul 3, 2008
- 562
- 171
Kipute saa ngapi wakuu?
Itakuwa saa tano usiku kwa saa za kwetu Tz. Cheki game inalolitaka live online hapa;
http://www.atdhe.net/index.html
Kipute saa ngapi wakuu?
Kipute saa ngapi wakuu?
AW......na weye hujibu hapa? saa ngapi mpira unaanza wakuu?
pole mkuu nilikuwa away kidogo.mechi inaanza 19:45 kwa mda wa uingereza,marekani 2:45pm,bongo 10:45pm.AW......na weye hujibu hapa? saa ngapi mpira unaanza wakuu?
mkuu dua zako muhimu sana leo manake maisha yashakuwa magumu na bila point 3 leo basi kesho tutasikia mengi sana kwenye magazeti ya uingereza.Saa 4 na dk 45 kwa saa za Afrika Mashariki
........ex seminarian many thanks kwa kuniona......!Saa 4 na dk 45 kwa saa za Afrika Mashariki
pole mkuu nilikuwa away kidogo.mechi inaanza 19:45 kwa mda wa uingereza,marekani 2:45pm,bongo 10:45pm.
mkuu dua zako muhimu sana leo manake maisha yashakuwa magumu na bila point 3 leo basi kesho tutasikia mengi sana kwenye magazeti ya uingereza.
pole sana mkuu niliondoka kidogo nikasahau ku-log out.tupo pamoja leo kufa na kupona..
....mkuu nilikuona unachungulia ikabidi niku-identify nikitegemea u have an answer! Thanks ....ngoja nijikusanye!
ha ha ha mkuu kusema kweli hakuna clean sheet pale golini kwetu labda kusiwe na shot on goal,mie nadhani tunashinda 4-2 hoping arshavin atapiga long range zake manake amekuwa likizo kidogo kwenye zilizopita japo alikuwa na nafasi.AW, leo tunawachapa L'pool 2-0 ili angalau tufute machozi ya mechi hizi mbili tulizopigwa jula ya bao 5-0.
ushindi leo mkuu nautegemea sana.kuhusu clichy kweli katoka injury na hayuko fit bado.tatizo naona kama mabeki wetu wakipanda wanajisahau mno na kujikuta wote wako mbele hata counter attack ikitokea wanajikuta wote wanafukuzia.Clichy alikuwa majeruhi alikuwa bado hajafikia kiwango chake, utaona leo mabadiliko vile vile usisahau Song jet lag na Daby alikuwa majeruhi. Timu nzuri bali kuna hii nigling za hapa na pale. Manone naona anaweza kuwa golini Almunia kidogo ana matatizo kwa sababu alikuwa anataka kucheza kwenye timu ya England alikuwa hajawafahamu hawa jamaa. Baada ya mechi ya leo ndio tutaona zipi mbivu lakini tegemea ushindi leo.
........ex seminarian many thanks kwa kuniona......!
mkuu dua zako muhimu sana leo manake maisha yashakuwa magumu na bila point 3 leo basi kesho tutasikia mengi sana kwenye magazeti ya uingereza.
AW, leo tunawachapa L'pool 2-0 ili angalau tufute machozi ya mechi hizi mbili tulizopigwa jula ya bao 5-0.