Mkuu pole sn rafiki yangu...napenda sn jinsi ulivyo na busara kwa kuelewa maana ya michezo...Mara nyingi hua tunataniana lkn dakika 90 ndio kila kitu.
Mtakua na pengo la Skrtel na Can ktk michezo yenu miwili ijayo.
Bora BAK umeliona hilo maana akikununia huyo utaomba ardhi ipasuke..
Safi sn....kaka yako yuko pouwa sn anajua maana ya michezo haswaa.
Bigup sn Malafyale
Mkubwa inabidi unitake radhi kwa kweli
Tulikuwa 10 Emre alipewa kadi nyekundu ehehehehe
NtuzuQPR tunakwenda kuwazika wazimawazima weekend hii ijayo alafu ndio iwe zamu yenu sasa wapinzani wetu!
Jack Wilshere is not for sale, Arsenal boss Arsene Wenger tells Manchester City
Manchester City are interested in Arsenal midfielder Jack Wilshere
But Arsene Wenger insists the England international is not for saleWilshere, Abou
Diaby and Mikel Arteta passed fit for Burnley clashLaurent Koscielny facing fitness
test on injury sustained against Liverpool
#COYG
Ninachokupendea huwa unakomaa mpaka mwisho....sema tu mwaka juzi sijui ulipatwa na nini maana ulijificha kwenye Dari la nyumba baada ya dhahma ya ubingwa kupotea,....Hahaaaa hili hata Piere. Fm analijua, nangojea ya mwaka huu...kituko!!Ile ni Man City na hii ni Chelsea Mkuu!
Tena Mkuu usifikiri kwamba ni utani Mkuu!
Haiwezekani na haitowezekana bado michezo 7 ligi iishe na tuna mchezo mmoja mkononi alafu tunaongoza kwa tofauti ya points 7 mpk 8 dhidi ya washindani wetu waliochomoza hivi karibuni alafu eti tushindwe kuchukua kombe!? Yani ata km kwa kufia uwanjani wachezaji watakufa safari! Alafu washindani wetu ndio tunakutana na nyie hivi karibuni alafu tuwaache kweli? Huu utakua ni wehu kabisa.
Ninachokupendea huwa unakomaa mpaka mwisho....sema tu mwaka juzi sijui ulipatwa na nini maana ulijificha kwenye Dari la nyumba baada ya dhahma ya ubingwa kupotea,....Hahaaaa hili hata pierre.Fm analijua
Arsenal wawaa!
Hapa ndoto ni kumfukuzia yule chadomo hatimaye tumpiku vizuri, Le Prifessor tupo nyuma yako, waambie vijana wako kaza buti!!!
Malizaneni na Bunley Kwanza weekend hii!
Bunley kama utelezi mkuu!!
Nipo kuona mtakavo teleza!
Nipo kuona mtakavo teleza!