Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ligi bado ngumu na kila timu inapigania nafasi za juu.

Liverpool nyumbani Emirates Jumamosi tarehe 4 April, halafu tarehe 11 April tutakwenda kucheza na Burnley. Baada ya hapo tutawakaribisha Chelsea dimbani Emirates tarehe26 April.

Mechi nyingine ni tarehe 2 mwezi May dhidi ya Hull kwenye uwanja wao na tutawakaribisha Swansea City Emirates.

Tarehe9 May tutakwenda kule Old Traford dhidi ya Manchester United kabla ya kumaliziamechi mbili za nyumbani

Emirates dhidi ya timu za Sunderland tarehe 20 May natarehe 24 May tutamalizia msimu na West Bromwich Albion.
 
26DE9AAE00000578-3005555-image-a-44_1426956173003.jpg


Ramsey alikuwepo ... ... ..

26DEBFFE00000578-3005555-image-a-33_1426955404439.jpg


New Castle walijitahidi kufurukuta lakini waligonga mwamba

26DF600000000578-3005555-image-a-69_1426958860372.jpg


Welbeck .... ..

26DF32AA00000578-3005555-image-a-55_1426958187513.jpg


Hata Manager wa New Castle alijaribu lakini wapi?

26DD77DE00000578-3005555-image-a-28_1426955215768.jpg


Gab alikuwa ngangari kwenye ulinzi


26DD883F00000578-3005555-Arsenal_forward_Alexis_Sanchez_left_drives_into_Newcastle_s_box_-a-27_1426955160220.jpg


Alexis ambaye atacheza emirates mwisho wa mwezi na timu yake ya Chile watakapokwaana na Brazil ... ...

gun__1426959714_498499795_SM_6907_13E2E3D78C45.jpg


OG baada ya kuweka chuma wavuni .... ..

26DF75E400000578-3005555-image-a-65_1426958843128.jpg


Prof kama kawa ... ...

26DF4CB200000578-3005555-image-a-61_1426958310357.jpg


Coquelin alikuwepo ... .

26DF4D3600000578-3005555-image-a-50_1426958025384.jpg


OG baada ya mtanange ... ..

26DE316200000578-0-image-a-11_1426953149134.jpg



26DD8F1C00000578-0-image-a-7_1426953116291.jpg


Get in ... ... ..

26DED3C500000578-3005555-image-m-46_1426956764909.jpg


Tim Krul hakuona ndani .... 1st blood ... ..

26DD92D200000578-0-image-a-1_1426953056003.jpg


First .... ..

Next 4/04/2015. J1 Loser Fools Emirates Stadium Lunch hour kick off .. ..
 
Huree mambo yanakwenda vizuri!sasa haya majamaa baadae ngoja yatenguane viuno yatoe sare kila mtu aache pointi 2 ndio karata zangu nilivyozichanga!
 
Arsenal ni kama umeme wa Tanesco, imewafurahisha kwa muda tu mpaka ule mpango wa kumtimua Wenger umesitishwa. Atakapoanza vitu vyake hata vibanda umiza watu huwa hawaendi.
 
Like for real!??? Are you that obsessed bro?????,,,
Not at all!! You asked for a proof...I was just checking if you got the documents concerning diver Hazard.

With this tone of yours, I take you accepted that the judo kid was found quilty as charged.

I guess I know who you are. Mr. bro, bro.
 
Is this Goons' target?!

Sio overall target. Ila baada ya matokeo na form yenu( vs Spurs & Liver) inatubidi tuwe realistics. Chelsea wame bottle 2 goals lead ndani ya dakika 1.
HULL 2-2 Rentboys kama unavyowaita. Actually ingekuwa 3-2 kama Hernandez angekuwa clinical
 
Is this Goons' target?!

Mkuu huu ndio tunaita wivu wa kike weye MK Dons tu wanakutoa kamasi, mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Khe khe kje khe khe he khe he khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sio overall target. Ila baada ya matokeo na form yenu( vs Spurs & Liver) inatubidi tuwe realistics. Chelsea wame bottle 2 goals lead ndani ya dakika 1.
HULL 2-2 Rentboys kama unavyowaita. Actually ingekuwa 3-2 kama Hernandez angekuwa clinical

Kwa hiyo unakiri wazi umeanza kuihofia United?
 
Kwa hiyo unakiri wazi umeanza kuihofia United?

Kuiogopa kwa lipi? Nachosema ni kinachooneka halafu sio kwamba Arsenal wanafanya vibaya ,tupo katika best form so far. Tunatakiwa kuendeleza tulipoachia jana in terms of ushindi.
 
Umepotea sana weye dah! Sijui ndio penzi limezidi kuwa moto moto au maraha ya Burdeos. Ujitahidi kuwepo J'pili kwenye mchapo na L'pool. Wasalimie wakazi wa Burdeos.

@BAK, adui kweli muombe njaa..Umeona L'pool walivyochapwa?!! haya, nipe congrats yangu tafadhali ha ha. Nitawasalimu huku Burdeos. Nimeshikwa nikashikamana bandugu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukishikwa shikamana mapenzi yenyewe haya ya siku hizi wenye mapenzi ya kweli ni wachache. Hongera kwa ushindi.

@BAK, adui kweli muombe njaa..Umeona L'pool walivyochapwa?!! haya, nipe congrats yangu tafadhali ha ha. Nitawasalimu huku Burdeos. Nimeshikwa nikashikamana bandugu.
 
Back
Top Bottom