arsene wenger hajaanza kuipigia kelele leo hiyo sheria ya awy goals, tangu msimu wa juzi tumekutana na bayern alfunguka kuhusu hiyo sheri so ni vizuri ikavunjwa kwasababu ni kandamizi kama ilivyokuwa kwa goli la dhahabu..... mnakumbuka robo fainali kati ya senegal na turkey ktk kombe la dunia 2002 korea kusini, goal la dhahabu lilitukera sana africa nzima..... sasa hv limeondolewa safi, na uefa nao lazima watumie technologia ya goal lines coz lile goal alofunga giroud juzi then kipa akalitolea kwa ndani lilikuwa goal.. so mambo kama hayo YAZINGATIWE UEFA...