Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Kesho naamini tutashinda japo kwa shida, ila kitu ambacho ni kigumu ni Wenger kumkazia Walcot hadi anafikia uamuzi wa kutofanya mazungumzo ya mkataba. Walcot hastahili kuondoka nashangaa kwann watu wanasahau, jamaa mapema msimu uliopita kila kona sifa zake zilitanda na umahiri wake ila sasa wenger kamnyima nafasi hadi inakera mbona Giroud kampa muda wa kutosha. Theo should stay i would sad if he go
inasemekana THEO anataka pound zaidi ya 100,000 kwa wiki jambo ambalo haiezekani, ukizingatia anachukua 100,000 kwa sasa mkataba alionao...
ukilinganisha na hali aliyopo sasa baada ya kutoka long term injury na kupoteza form
on top of that ALEXIS anakula pound 130,000 i think na OZIL 110,000 na podoski arround 100,000 kwa week
Santi,kos,per, wengine wako below 100k kwa week....
HIYO PESA HAWEZI KUPEWA....HE BETTER SORT IT OUT au WATAMUUZA na kumchukua RAHEEM
Ndugu zangu BAK Wacha 1 Belo
Nawatakia amani kwenye kuona game ya leo!Tukubali matokeo kwani soka lina matokeo matatu!Lolote likiwapata leo mchukulie kama ni changamoto tu na wala SIYO kutaka kuandamana kushinikiza Kocha Wenger afukuzwe
Hamna haja ya kunikimbia baada ya dakika 90 bali tuje hapa tujadili soka!Majogoo 11 yasiyo pungufu yanawika Emirates leo
Mchezo mwema wote