Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana, 0-0 ni safi sana kwetu

Tunataka kuona bonge la game lakini matokeo yawe 0-0 kwa raha zetu. Itasaidia kupunguza machungu ya jana.

CC: everlenk

Mweeeee!!!! Nimekosa hata cha kusema, nyie malizeni hayo machungu mapema msiwe kama kina Ntuzu wakalia weee mpaka wakasahau kuna EPL wakatoa draw, mjue ninyi mkitoa draw nawapita....
 
Last edited by a moderator:
Mweeeee!!!! Nimekosa hata cha kusema, nyie malizeni hayo machungu mapema msiwe kama kina Ntuzu wakalia weee mpaka wakasahau kuna EPL wakatoa draw, mjue ninyi mkitoa draw nawapita....

Sisi ata tukidraw, una wimbo gani wakumuimbia liverpool akuelewe?? Nae anataka uefa hahah
 
Last edited by a moderator:
Khe kheee kheeeeeeeee naona Ryan Giggs kaipiga chini falsafa ya LV Girl na Babu yenu hajatia neno kauchuna kimyaaaa, chezeya Ryan Giggs weye! Haya ngoja tusubiri tuone J'pili si mbali.

Mweeeee!!!! Nimekosa hata cha kusema, nyie malizeni hayo machungu mapema msiwe kama kina Ntuzu wakalia weee mpaka wakasahau kuna EPL wakatoa draw, mjue ninyi mkitoa draw nawapita....
 
Tumehuzunika kutolewa UEFA rakini hii itatusaidia kukaa top 4au kuchukua ubingwa wa premier
 
Khe kheee kheeeeeeeee naona Ryan Giggs kaipiga chini falsafa ya LV Girl na Babu yenu hajatia neno kauchuna kimyaaaa, chezeya Ryan Giggs weye! Haya ngoja tusubiri tuone J'pili si mbali.

Yaani acha tu, Huyu LVG aende kuwafundisha vijana u20 awapike anavyotaka, si unaona sasahivi hata vijana wana ujasiri wa kutoa tamko kwamb a itakuwaje, kwa falsafa ya LVG nani alikuwa na ujasiri was kutoa tamko?
 
Hmmmmm! Hii si falsafa ya LV Girl bana sasa mbona mlikuwa hamshindi!? na mashambulizi yenu yalikuwa ni ya kusuasua mkifanya shambulizi 2015 linginge mpaka 2018? lol!

Falsafa yetu ya Manu Attack attack mpaka tone la mwisho la jasho.....
 
Back
Top Bottom