Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uzuri arsenal washazoea wala haiwapi shida.
Karibuni nyumbani epl
 
Wanaonifurahisha hapa lazima niwape likes, basi usiiweke hapa na kumpa heart attack Mkuu utafiti lol!


Mi ntaiweka......maana kule kwetu uliweka uliweka wale watoto wmevaa DDDDD. Nakutania mkuu siiweki bhana Usije Ukapotea humu.
 
Last edited by a moderator:
Umeanza tena unajua nitaileta hivyo picha we niudhi!!! Mimi nina EPL halafu unajua nishacheza na UEFA kabisa ya mwakani na nimeshinda hahahaha!! Wapi kaka Malafyale, Ntuzu mwambie huyu utafiti hajui majira....

Unasema wewe una EPL??? Teh teh teh kwani lile kombe anapewa anaemaliza nafasi ya saba??:sly::sly: hahah sijamuona Malafyale mzee wa uefa ndogo a.k.a kombe la watoto
 
Last edited by a moderator:
Uwiiii!!!!!! Mamy utaua watu, kuna watu wamepotea toka jana hatujui wako wapi bado tunaendelea na msako wa polisi......

hahaaa....watapotea sana.....wangeshinda nakwambia tungekonda leo...vurugu mtindo mmoja....ila wamefungwa tumetulia kimya.....dah natamani ingekuwa ijumaa leo...
 

Kwa jinsi navyompenda Barca potelea mbali Man city wakafie mbali, halafu kwenye Laliga jumapil si wanacheza na RM? Au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…