Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wapenzi wenzangu wa aresenal najua mmejiandaa na shangwe ya ushindi lakini ukweli unabaki leo tunaishia na draw nakuendeleea na ligi yetu aliotupa Mungu mpaka morinyo anakiri tumerudi kwenye kugombania ubingwaa

katoka chelsea nini arsenal ..wenger wala usikate tamaa mpwa tuko nyuma yako
 
1426605574270.jpg
 
Asante kiongozi, tunalijua hilo. Na ndio maana hii inaitwa Champions League yaani LIGI YA MABINGWA...!
We still have a chance, football can be very cruel at times, Madrid kidogo atolewe na Schalke pale Bernabeu, Chelsea amefungasha mabegi pale pale darajani..Lolote laweza kutokea leo...we just cross our fingers...COYG!!

Safi sana kwa kujipa moyo.
 
Kwa wale wanaotaka kupiga fweza za haraka haraka toka kwa muhindi, weka bet ya kwa arsenal kushinda na kuvuka raundi hii uone utavyopata mtaji. Wenye masikio wasikie na wafuate huu ushauri.
 
Haya wapendwa humu ndani kila la heri katika mechi ya leo................
BAK nauliza tena niandae maua au leso????
 
Last edited by a moderator:
Oh! Kumbe zile baraka zako zilikuwa ni magushi eeh! haya bana ushindi kama kazi tunamchapa mtu 4-0 na kuushangaza Ulimwengu wa soka. Ndio umeamua kulala mapema au unaenda shule ya jinsi ya kula viporo!? hahahahaha lol!

Haya wapendwa humu ndani kila la heri katika mechi ya leo................
BAK nauliza tena niandae maua au leso????
 
Jaman Arsenal (the gunners) tutoeni kimasomaso leo.
Kwa mara ya kwanza nitakuwa upande wenu ila mkizingua kama wale wa darajani nawakimbia.
 
ARSENAL KUCHEZA ROBO FAINALI NA BARCELONA KATIKA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUMTOA MONACO KWA AGGREGATE YA 5-3..


Kuendelea kupata miujiza mingine kama hii.. Tuma neno MIUJIZA kwenda 15678..
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Back
Top Bottom