Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

466198310-olivier-giroud-of-arsenal-celebrates-scoring-gettyimages.jpg
 
Kwa kuwajambisha tu goons, Wenger hana mpinzani....sasa habari yote ya #WengerOut imeisha....

Ngoja mwisho wa msimu ufike na hali mtakayokuwa nayo, nitawakumbusha haya...

Ila kwa Monaco, kiama kipo pale pale na ahadi yangu ipo pale pale, kule mnaenda kukamilisha ratiba tu...

Endeleeni kutushikia hiyo nafasi, maana ubingwa wenu tumeishikilia siye kwa sasa....
 
Mwizi anafukuzwa kimyakimya bila msaada wa polisi. Gape na nafasi ya pili imebaki ya point moja tu.
Hongera sana Gunners.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa kuwajambisha tu goons, Wenger hana mpinzani....sasa habari yote ya #WengerOut imeisha....

Ngoja mwisho wa msimu ufike na hali mtakayokuwa nayo, nitawakumbusha haya...

Ila kwa Monaco, kiama kipo pale pale na ahadi yangu ipo pale pale, kule mnaenda kukamilisha ratiba tu...

Endeleeni kutushikia hiyo nafasi, maana ubingwa wenu tumeishikilia siye kwa sasa....

Team P W D L F A Pts
1 Chelsea 27 19 6 2 57 22 63
2 Man City 29 17 7 5 59 28 58
3 Arsenal 29 17 6 6 56 30 57
4 Man Utd 28 15 8 5 47 26 53
5 Liverpool 28 15 6 7 42 30 51
6 Tottenham 28 15 5 8 46 39 50
7 So'ton 28 15 4 9 39 20 49
8 Stoke 29 12 6 11 33 35 42
9 Swansea 28 11 7 10 33 37 40
10 West Ham 29 10 9 10 39 37 39
11 Newcastle 28 9 8 11 32 43 35
12 C Palace 29 8 9 12 34 40 33
13 W Brom 29 8 9 12 27 36 33
14 Everton 28 6 10 12 33 41 28
15 Hull City 29 6 10 13 26 37 28
16 A Villa 29 7 7 15 19 38 28
17 S'land 29 4 14 11 23 43 26
18 Burnley 29 5 10 14 26 47 25
19 QPR 29 6 4 19 30 52 22
20 Leicester 28 4 7 17 24 44 19

Angalia vizuri aliyeshikilia nafasi yako Ndugu.
 
Back
Top Bottom