Kwa hiyo ktk soka zile nguzo tatu zinapogeuka kipa, deflections na own goals unaziitaje, bahati nzuri au bahati mbaya?Maelezo yako ya kuhusu "mnarudi dk 45 blah blah blah" hayana mashiko. Matokeo yenu ya 99 na Buyern haikuwa bahati ile? mliokota dhahabu kariakoo!
Heko. Wewe umezungumza kama mpenzi wa soka, na siyo mnazi wa Arsenal.
Defensively, Monaco wapo vizuri, stats zao kwenye UCL zinaonyesha.
Hakika Arsenal wakishinda Ufaransa nipigwe ban ya mwaka mzima
.
Na ahadi yangu ya kuhama Man United kama Arsenal wakichukua UCL, bado ipo palepale ��
mkuu BAK watoto tayari wanaujua udhaifu wa aseno. hawawezi kukubali kufungwa nyumbani kwao, ila endelea kujipa matumaini feki lakini siku wakirudiana watoto hawatakubali kufungwa nyumbani kwao.
Unachekesha wewe kama ni kuokota dhahabu kariakoo nyie mmeokota mara ngapi? Na kwa nini toka kombe lianze wanaopata hiyo bahati wanajirudia walewale mara nyingi? Ni kweli Arsenal haina bahati miaka yote au kiwango kidogo?
:A S confused: :sad: :A S angry: :sick: :disapointed: 😡 :A S-cry: Yale makonde matatu toka Monaco bado yametulewesha..Hatariii...Ila ndio mpira..
COYG
It will be a miracle to come back to this game.....
Ozil was hiding.....No chance
Arsenal Fan TV
Uzuri mzee wenger hana historia ya kupoteza game 2 Uefa.
Nafikiri hard drive yako haina GB za kutosha...mlifungwa 1-0 old Trafford Wenger akasema man utd watajutia nafasi walizopoteza mechi ya marudiano mkapewa 3-1 hio ni semi final ya eufa champions league!man utd as holders