Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kwani wao majembe yao 5 yaliyokosekana kwenye mechi hii yatakuwa yamevunjika mipini? ni jembe gani mlilokosa ktk mechi hii? mbaazi ukikosa maua.......

Mimi sijasema chochote kuhusu sisi kukosa majembe yetu!
Jana kilichotokea, tulikuwa na off-day, na wao ilikuwa ni perfomance ya once in their life time.
 
Reactions: Mbu
Kutawaliwa si kigezo cha kufanya mpira kuwa mchezo wa bahati, haiwezekani timu icheze dakika 45 iende mapumziko na kupata ushauri wa makocha then mnarudi dakika 45 tena unafungwa unasema ni bahati mbaya

Magoli ya deflections au ya kujifunga, au nguzo zinapogeuka kipa inakuwaga ni bahati nzuri au mbaya? Au unaelezeaje hii kitu.
 
Magoli ya deflections au ya kujifunga, au nguzo zinapogeuka kipa inakuwaga ni bahati nzuri au mbaya? Au unaelezeaje hii kitu.

Kujifunga ni ishara ya kuzidiwa, hadi ifikie hatua mtu anajifunga maji yanakuwa shingoni haina tofauti na mtu anayejinyonga mwenyewe anakuwa kazidiwa
 
Ebu tulia kwanza, naona CHUKI pia ni UPOFU. Ni ile dozi ya Liberty stadium bado inaingia au, ebu kabla ya yote nieleze, katika post yangu ni wapi nimesema Arsenal ni european giant au Arsenal sio european giant?

Niichukie Arsenal ambayo Hanna chochote alichozidi timu ninayopenda! Endelea kujipa moyo,kurecover from 1-3 defeat at home sio kazi ndogo, ndio kwanza half moja imeisha jipange ng I tu.
 
Kutawaliwa si kigezo cha kufanya mpira kuwa mchezo wa bahati, haiwezekani timu icheze dakika 45 iende mapumziko na kupata ushauri wa makocha then mnarudi dakika 45 tena unafungwa unasema ni bahati mbaya
Kwa hiyo ktk soka zile nguzo tatu zinapogeuka kipa, deflections na own goals unaziitaje, bahati nzuri au bahati mbaya?Maelezo yako ya kuhusu "mnarudi dk 45 blah blah blah" hayana mashiko. Matokeo yenu ya 99 na Buyern haikuwa bahati ile? mliokota dhahabu kariakoo!
 

Unataka kusema nini juu ya Arsenal Financial Company (AFC)?
 

........E bana weeee?! 3-1 kitu gani banaa? Milton Keynes Don waliwafunga Man United 4-1, unadhani game ya "marudiano" matokeo yatakuwaje?

Cc; Nzi, Belo, et al
 
Last edited by a moderator:

Heko. Wewe umezungumza kama mpenzi wa soka, na siyo mnazi wa Arsenal.

Defensively, Monaco wapo vizuri, stats zao kwenye UCL zinaonyesha.

Hakika Arsenal wakishinda Ufaransa nipigwe ban ya mwaka mzima

Na ahadi yangu ya kuhama Man United kama Arsenal wakichukua UCL, bado ipo palepale 😃
 
Haters mmefurahi mpaka hamfikirii vizuri, pamoja na mdau kusema QF na sio group stage, ila scenario zinafanana, ni mechi ya away kwa Arsenal ambayo watatakiwa washinde si chini ya gepu ya goli 3 kuweza kuwa na chance ya kupita au kupita.

Endelea kwa kujipa matumaini...
 
Nzi
Siku hizi una bets za ajabu sana...
Angalia kiongozi
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
........E bana weeee?! 3-1 kitu gani banaa? Milton Keynes Don waliwafunga Man United 4-1, unadhani game ya "marudiano" matokeo yatakuwaje?

Cc; Nzi, Belo, et al

Sawa mdudu...
 
Last edited by a moderator:
Nzi
Siku hizi una bets za ajabu sana...
Angalia kiongozi

Nina bet za uhakika...ningekuwa na denerio ningebet hata millions kwa hayo ninayosema 😎
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…