truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
kwel hii mech ilibidi ozil aende bench kabla ya dk 45 maana hii game inahitaji misuli na nguvu hlf rosicky aingie na carzola asogee mbele, nimeumia sana ila nitaumia zaidi endapo man u watatutoa FA
'Mesut Ozil is a magician,he disappears in big games'
í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚
Mkuu poleni lakini yote yanawezekana
Haionekani kuwa mna defense mgogoro.
Mgogoro anautengeneza Wenger. Amenunua mchezaji paulista aliyekuwa anategemewa na timu yake kule Spain, ameamua kumweka bench na kumchezesha mtoto kinda, Belarin.
Mchezaji kama Walcott, Chamberlain, Roziscky wanaingizwa inapokuwa hali imekuwa mbaya.
Tatizo liko kwenye upangaji wa kikosi na wakati muafaka wa kufanya substitutions.
Arsenal ilinunua kufungwa leo.
Msijali mko nafasi ya tatu katika PL mkibakia hapo, mtaingia tena CL mwakani.
Hivi kocha aliyekaa miaka yote hiyo, hajaweka tactics zake sawa?!?
Yote kwa yote naamini Szczesny ni bora kuliko Ospina. Angeweza kuchomoa angalau goli la 1 & la 3
Monaco ktk group games zote 6 alifungwa goli moja tu!Arsenal wanawaza kumfunga kwake goli 3 kwenye game moja tena ktk uwanja wake!jipimeni wenyewe
Monaco ktk group games zote 6 alifungwa goli moja tu!Arsenal wanawaza kumfunga kwake goli 3 kwenye game moja tena ktk uwanja wake!jipimeni wenyewe
Mpira haupimwi hivyo!
Ebu cheki, Swansea inaifunga Manu, Liver inafungwa na Manu, na Liver inaifunga Swansea!!
Kwa tafsiri yako, Liver hapa haikutakiwa kufungwa na Manu.
Mpira unadunda, Arsenal tumewahi pigwa 3-0 Highbury na Internazionale ktk UCL, tukaenda Italy tukawakung'uta 5-1 na kusonga mbele, wala sio mbali saana, kizazi cha Henri, na Henri alipiga hat trick, nachojaribu kusema ni kwamba mpira unadunda na matokeo hayo yanawezekana!
Labda katika ulimwengu wa maajabu, there's no way we gonna come back from 3-1 to beat them 3-0 in France...No way!
Hata Bayern Munchen walitupiga 3-1 Emirates tukaenda kuwala 2-0 kwao. AC Milan pia, but for this one...the game is over at half time aisee..!
Kipa gani ushawahi muona akichomoa deflected shots? Au wataka kutoa lawama tu kwa Ospina vile tumefungwa?
Ninachoona, bado hatujawa na standout keeper, labda tumpr Ospina msimu mmoja anaweza kuwa kipa mzuri.
.......there's a way! Keep the faith bro.
Kama wao wameweza, sie kitatushinda nini?.....
.......there's a way! Keep the faith bro.
Kama wao wameweza, sie kitatushinda nini?.....
He was just far too static on his line today. Hopefully he will up his game ...
View attachment 229754
rubaman mjanja aliaga mapema kabisa.. BAK sijui kapotelea wapi, hata updates hajatoa leo.. Mbu sijui kapatwa na nini Balantanda is always here?!? I doubt it 
Mpira haupimwi hivyo!
Ebu cheki, Swansea inaifunga Manu, Liver inafungwa na Manu, na Liver inaifunga Swansea!!
Kwa tafsiri yako, Liver hapa haikutakiwa kufungwa na Manu.
Mpira unadunda, Arsenal tumewahi pigwa 3-0 Highbury na Internazionale ktk UCL kama kumbukumbu zangu zipo sahihi zaidi, tukaenda Italy tukawakung'uta 5-1 na kusonga mbele, wala sio mbali saana, kizazi cha Henri, na Henri alipiga hat trick, nachojaribu kusema ni kwamba mpira unadunda na matokeo hayo yanawezekana!