Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Kesho nitakuwa nanyi mkimfunga Soton...
Karibu kule kwenye jukwaa la wastaarab sio kama majukwaa yenu yenye ukiritimba wa kutisha
Jukwaa la wapiga mishale ni BAK na rubaman tu wenye haki ya kuandika chochote wengine hadi ruhusa yao sambamba na jukwaa la Chelsea bila ruhusa ya Ntuzu na Manumbu huwezi andika kitu
Jukwaa la Man U lzm upate approval ya Nzi au RRONDO au dada everlenk kuandika
Kwetu yyt anaruhusiwa kuandika,njoo kesho
Last edited by a moderator: