Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ozil shows his value hataki kupoteza ufalme wake unaotishiwa na sanchez
 
David O ninamwamini sana golini kuliko yule ambaye hakawii kufanya makosa ambayo mengine yalizaa magoli.

attachment.php

Yule kijana kazingua sana yaani anafungwa goli la kizembe halafu anaenda kushushi puff ya sigara.
 
Alipojeruhiwa dakika chache zilizopita na yule mwingine kuanza kupasha misuli moto nikawa na wasiwasi na kuomba aweze kuendelea. Naona maombi yangu kwa sasa yamekubaliwa. Hopefully he'll be able to finish this game.

Naona bora muende mapumziko, gemu imegeuka hii.
 
Duh! Jamaa walikuwa wanatushambulia kama nyuki lakini tumeweza kuzima mashambulizi yao, HT 0-1 Arsenal.
 
Mtanipa matokeo, nakwenda kulala. Hii ni moja ya mechi ngumu katika kila msimu
 
Back
Top Bottom